ukijiua kwasababu ya wivu wa mapenzi, ukiji R.I.P kwasababu ya msongo wa mawazo na ugumu wa maisha kwa uvivu wako, ukiuawa kwenye fumanizi kwa tamaa zako za kumendea wake za watu, ukimalizwa kwenye ujambazi na uporaji wa mali za watu huna haja ya kusingizia drama au porojo za utekaji gentleman, that's useless and completely nonsense.Kumbuka analo jukumu la kuwalinda Raia wa Tanzania, ebu muulize huyo Tunu wako wa Amani kwamba Deus Soka, Mdude Nyagali na wengine waliotekwa, waliopotea wako wapi?
CCM inaharibiwa na wajinga wengi wanaotanguliza uchawa ktk mambo ya msingi.
Mimi ni CCM lakini nachukia sana uchawa wa kipumbavu kama huu!
Tuelezane ukweli katika mambo ya msingi.
Rais Samia alianza vizuri sana lakini hapa katikati na hasa alipowarudisha watu kama akina Makonda kwenye system amevuruga big time!
Rais Samia heshima aliyokuwa nayo ndani na nje ya nchi imepotea kabisa!
Watu waovu wamemuharibia sana!
ANANUKA ANANUKA ANANUKAumejitahidi kuonyesha chuki binafsi kilofa sana ndugu mpiga ramli
🚮waTanzania katika umoja na mshikamano tunajivunia uongozi wa Dr.Samia Suluhu Hassan ambao ni tunu ya amani na umoja wetu kama taifa, lakini pia Dr. samia suluhu hassana ni chachu ya mabadiliko na maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi ya Taifa letu.
Daima kwa pamoja kama taifa, tuna kula sababu ya kumshukuru mama huyu na tunawajibika kumuombea afya njema na maisha marefu, anapojiandaa kuchukua usukani wa uongozi wa taifa letu kama rais, mara baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria utakaofanyika mapema mwezi wa october.2025.
Asante sana Chama Cha Mapinduzi kumuidhinisha Dr.Samia Suluhu Hassan kama mgombea pekee wa urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa kupitia CCM, kuelekea uchaguzi mkuu, lakini pia asante chama cha mapinduzi CCM kwa kumuidhinisha DR.hussein Mwinyi kua mgombea pekee wa urais kwa upande wa Zanzibar.
Ama kwa hakika mmezingatia kiu na maoni ya waTanzania kwamba wagombea hao wanastahili kupewa fursa na nafasi ya kuongoza nchi yetu kwa awamu nyingine tena.
Kwa Neema na Baraka za Mungu, hayupo wa kuziua hilo lisitokee.
Mungu Ibariki Tanzania.
Amani iko wapi watu wanauwawa, Watu wanatekwa!! Makanisa yanafungwa waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima wananyimwa haki yao ya kuabudu!! Ukristo uko hatarini chini ya utawala huu!!waTanzania katika umoja na mshikamano tunajivunia uongozi wa Dr.Samia Suluhu Hassan ambao ni tunu ya amani na umoja wetu kama taifa, lakini pia Dr. samia suluhu hassana ni chachu ya mabadiliko na maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi ya Taifa letu.
Daima kwa pamoja kama taifa, tuna kula sababu ya kumshukuru mama huyu na tunawajibika kumuombea afya njema na maisha marefu, anapojiandaa kuchukua usukani wa uongozi wa taifa letu kama rais, mara baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria utakaofanyika mapema mwezi wa october.2025.
Asante sana Chama Cha Mapinduzi kumuidhinisha Dr.Samia Suluhu Hassan kama mgombea pekee wa urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa kupitia CCM, kuelekea uchaguzi mkuu, lakini pia asante chama cha mapinduzi CCM kwa kumuidhinisha DR.hussein Mwinyi kua mgombea pekee wa urais kwa upande wa Zanzibar.
Ama kwa hakika mmezingatia kiu na maoni ya waTanzania kwamba wagombea hao wanastahili kupewa fursa na nafasi ya kuongoza nchi yetu kwa awamu nyingine tena.
Kwa Neema na Baraka za Mungu, hayupo wa kuziua hilo lisitokee.
Mungu Ibariki Tanzania.
😅😅😅😅 chawaaaaaajirarue,
ukweli ndio huo gentleman
Tunu ya kuzimu na shetaniwaTanzania katika umoja na mshikamano tunajivunia uongozi wa Dr.Samia Suluhu Hassan ambao ni tunu ya amani na umoja wetu kama taifa, lakini pia Dr. samia suluhu hassana ni chachu ya mabadiliko na maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi ya Taifa letu.
Daima kwa pamoja kama taifa, tuna kula sababu ya kumshukuru mama huyu na tunawajibika kumuombea afya njema na maisha marefu, anapojiandaa kuchukua usukani wa uongozi wa taifa letu kama rais, mara baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria utakaofanyika mapema mwezi wa october.2025.
Asante sana Chama Cha Mapinduzi kumuidhinisha Dr.Samia Suluhu Hassan kama mgombea pekee wa urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa kupitia CCM, kuelekea uchaguzi mkuu, lakini pia asante chama cha mapinduzi CCM kwa kumuidhinisha DR.hussein Mwinyi kua mgombea pekee wa urais kwa upande wa Zanzibar.
Ama kwa hakika mmezingatia kiu na maoni ya waTanzania kwamba wagombea hao wanastahili kupewa fursa na nafasi ya kuongoza nchi yetu kwa awamu nyingine tena.
Kwa Neema na Baraka za Mungu, hayupo wa kuziua hilo lisitokee.
Mungu Ibariki Tanzania.
🚮calm down,
zingatia ukweli huo bila kuweweseka gentleman
amani iko kila mahali Tanzania gentleman,Amani iko wapi watu wanauwawa, Watu wanatekwa!! Makanisa yanafungwa waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima wananyimwa haki yao ya kuabudu!! Ukristo uko hatarini chini ya utawala huu!!