Rais Samia Suluhu Hassan ni Tunu ya amani na umoja wa Taifa letu Tanzania

CCM inapenda watu wajinga kama wewe.
 
Hata wanaompinga na kumchukia anawapa maendeleo
na anawapa uhuru na haki sawa wote licha ya wengine kukengeuka hadi kufikia hatua ya kumtukana,

yeye wala hana chuki nao anawapenda na kuwajali tu
 
zingatia hoja hakuna haja ya kuweweseka gentleman
Hakuna hoja hapo huoni watu hawamtaki ameharibu nchi kwa damu zisizo na hatia,ufisadi na uongozi mmbovu.hata CCM wenye akili hawamtaki kwa sababu yupo hapo kwa niaba ya wahuni.ni nyie machawa tu mnamsifia.
 
Mbona utumishi wanatoa tuu ajira bila connection
usikate tamaa gentleman, omba nawe utapewa, tafuta kwa bidii na maarifa na utapata tu,

ni kujipanga tu gentleman huku kukiwa na amani tele
 
Huyo Dr unayemsifia kusababisha kutuharibia Nchi yetu pakubwa sana.mfano kabla yake Nchi ilifika lower middle income lakini aliposhika to usukani unayemsifia akatuporomosha hadi Kuitwa ni severe poor country(umasikini uliozidi masikini wote duniani)
 
Hakuna hoja hapo huoni watu hawamtaki ameharibu nchi kwa damu zisizo na hatia,ufisadi na uongozi mmbovu.hata CCM wenye akili hawamtaki kwa sababu yupo hapo kwa niaba ya wahuni.ni nyie machawa tu mnamsifia.
hizo si chuki za vibaka na matapeli wa kisiasa gentleman?
au tayari nawe umeshakubali kubebwa ufala wa kifikra na kubatizwa kwa chuki binafsi na hatimae umeanza kuhubiri upotoshaji na porojo za drama za kizushi?
 
Mme Baki wenyewe kawatelekeza
 
hizo si chuki za vibaka na matapeli wa kisiasa gentleman?
au tayari nawe umeshakubali kubebwa ufala wa kifikra na kubatizwa kwa chuki binafsi na hatimae umeanza kuhubiri upotoshaji na porojo za drama za kizushi?
Kwani mauaji ya watu wasio na hatia si yapo wazi ?mimi siwezi kumsapoti mtu ambaye anamwaga damu ya ndugu zake ili abaki madarakani na pia kuhusu ufisadi amesharuhusu alisema watu wale ila wasivimbiwe.huyu mama hatufai na muda wake umeisha.laana ya damu za watu ni mbaya sana,Mungu anakukataa kama alivyomkataa huyo mama yako.
 
mimi smsifii mtu ispokua nawajibika kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu gentleman.

huo upotoshaji mwingine mwepesi unaojaribu kupotosha wadau wa JF, hauna athari zozote na kwahivyo sina haja kukurekebisha kwasasa.

but zingatia kwamba nilichoeleza kwenye hoja mahususi ni ukweli mtupu na sio sifa.
 
hizo zote ni porojo gentleman, waha huna haja kusumbua wadau wa Jf kwa uzushi na porojo kama hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…