Rais Samia Suluhu Hassan ni Tunu ya amani na umoja wa Taifa letu Tanzania

Kwa sasa watanzania hawana shida
Shida iko ndani yenu ccm wenyewe
CCM ni imara zaidi kwa sasa pengine kuliko wakati mwingine wowote tangu kuanzishwa kwake mawa 1977.

na mgombe urais aliethibitishwa na mkutano mkuu wa ccm taifa ni Dr.Samia Suluhu Hassan.Full sTOP.
 
Watu kutekwa na kuuawa yeye akiwa Rais ni porojo?watu wanaompinga.
ni drama za kizushi na kilofa mno gentleman,

we ufumaniwe huko ukimendea mke wa mtu watu wamalizane na wewe halafu uje hapa kutafuta huruma eti ng'we ng'we metekwa, nonsense kabisa, alaaaa...
 
CCM ni imara zaidi kwa sasa pengine kuliko wakati mwingine wowote tangu kuanzishwa kwake mawa 1977.

na mgombe urais aliethibitishwa na mkutano mkuu wa ccm taifa ni Dr.Samia Suluhu Hassan.Full sTOP.


Kitu ambacho napenda CCM ni ukomavu wao

Kama hapa kila mtu public anaongea kama wewe

Ila inside anajua nn kinaendelea, vikao mpaka saa tisa za usiku
 
Kitu ambacho napenda CCM ni ukomavu wao

Kama hapa kila mtu public anaongea kama wewe

Ila inside anajua nn kinaendelea, vikao mpaka saa tisa za usiku
CCM daima ni imara ndani na nje ya nchi gentleman 🐒
 
BORA USIMFIE MUNGU
KULIKO KUPOTEZA MUDA KUMSIFIA BINADAMU MWENZAKO SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…