Rais Samia Suluhu Hassan ni Tunu ya amani na umoja wa Taifa letu Tanzania

Nimeona Hamna haja ya kubishana sana
Nimejua kitu sio kila mtu ni Mzima humu
 
Nimeona Hamna ya kubishana sana
Nimejua kitu sio kila mtu ni Mzima humu
E3EB3407-1C98-449D-AC47-DFA19CD1E5D9.png
 
Haha 😄 kweli kabisa,

Nasikia kikao ni tarehe 18 tena
kikao kinaweza kufanyika wakati wowote na mgombea urais wa CCM tayari amethibitishwa bila mbambamba yoyote kua ni Dr.Samia Suluhu Hassan, tunu ya amani na umoja wa waTanzania 🐒
 
Attachments

  • Duh kiongozi kama huyu mchapa kazi kumpata tena ni mitano tena 🫣.mp4
    947.9 KB
  • AQNL9KwvgNwOGe3X7iWw35pDYtTgm3PmnnSAtZlH282vFEEJ_TPg63tAkGfJAtwjxiJiImeK_MRsNkKaZyISS6Q3J_m1zj...mp4
    1.1 MB
utaratibu uko wazi kwa wahusika wote wenye taasisi,

na kama nilivyoeleza awali,
hakuna mzaha, hakuna haya wala hakuna huruma kwa taasisi au asasi itakayokiuka masharti ya kisheria yaliyowekwa na katiba ya nchi.
utaratibu upi, hauujui na hata hujui unaloongea hadi unatia aibu. tueleze, utaratibu unaoujua wewe ni upi? na gwajima kafanya kosa gani pale, au hadi wewe utekwe uuawe ndio ndugu zako wajue kuwa kuteka na kuua ni dhambi inayopaswa kuhubiriwa hata makanisani na misikitini watu waiache kwa sababu Mungu hapendi!
 
utaratibu uliyoombea usajili wa taasisi au asasi yako unaambatana na taratibu za kukufutia usajili endapo utakiuka utaratibu huo wa kisheria.

makosa ya huyo fuska wa madhabahuni ni mengi tu ikiwa ni pamoja na kufanya unzinzi na kujirekodi video za ngono na waamini wake, kuwaambukiza magonjwa ya zinaa waamini wake kama vile ukimwi n.k🐒
 
wewe ni mjinga, hivi haujioni kama hujui hata kujibu maswali? na unasema uzinzi? si ukute baba yako alifanya uzinzi na mama yako ndio maana ukatoka mtoto haram kama wewe.
 
mjanja empty brain mbona umebaki na mihemko ya kuropoka na makasiriko ya kilofa tu?

yaani mie nibabaike kujadili hilo zinifu la madhabahuni? Nonsense 🐒
 
Back
Top Bottom