waTanzania katika umoja na mshikamano tunajivunia uongozi wa Dr.Samia Suluhu Hassan ambao ni tunu ya amani na umoja wetu kama taifa, lakini pia Dr. samia suluhu hassana ni chachu ya mabadiliko na maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi ya Taifa letu.
Daima kwa pamoja kama taifa, tuna kula sababu ya kumshukuru mama huyu na tunawajibika kumuombea afya njema na maisha marefu, anapojiandaa kuchukua usukani wa uongozi wa taifa letu kama rais, mara baada ya uchaguzi mkuu wa kihistoria utakaofanyika mapema mwezi wa october.2025.
Asante sana Chama Cha Mapinduzi kumuidhinisha Dr.Samia Suluhu Hassan kama mgombea pekee wa urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa kupitia CCM, kuelekea uchaguzi mkuu, lakini pia asante chama cha mapinduzi CCM kwa kumuidhinisha DR.hussein Mwinyi kua mgombea pekee wa urais kwa upande wa Zanzibar.
Ama kwa hakika mmezingatia kiu na maoni ya waTanzania kwamba wagombea hao wanastahili kupewa fursa na nafasi ya kuongoza nchi yetu kwa awamu nyingine tena.
Kwa Neema na Baraka za Mungu, hayupo wa kuziua hilo lisitokee.
Mungu Ibariki Tanzania.