Rais Samia Suluhu Hassan ni Tunu ya amani na umoja wa Taifa letu Tanzania

Huu ndio ukweli majizi na mafisadi na wasiolopa kodi za serekali,wanamuogopa sana.
 


Kule Bangaldeshi kuna Mwanazuoni mmoja aliwahi kusema kuwa zimwi la nafasi ya pili likifanukiwa kuondosha zimwi la nafasi ya kwanza bila vikwazo basi huo mchezo hautafikia mwisho. Kila zimwi llitawaza kupata nafasi ya kwanza kwa mbinu ile ile.

Ionekane tu kuwa Dr. Samia aliingua kwa bahati Mbaya kwa Watanganyika kumpoteza Magufuli.
Aking'ang'ania itaonekana kwamba alihusika
 
relax bana gentleman,
mzinifu kama yule atamfufua nani kwa mfano?

acha kuhadaa wadau wa JF bana plz,
eti ng'we ng'we sijui nini la ufufuo, alifufuka nani huko kama sio kudanganyana kilofa tu πŸ’
Mzinifu alizini na wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…