Rais Samia Suluhu kuzuru Uganda Kesho Aprili 11 kwa mwaliko maalumu wa Rais Museveni

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya safari yake ya kwanza ya kikazi nje ya Nchi kwa majirani zetu Uganda.

Rais Museveni amemualika Rais Samia kwenye kuzungumzia masuala mbalimbali huku kubwa likiwa ni bomba la Mafuta ghafi kutoka Hoima



 
Hatujasahau yaliyompata Garang akitokea Uganda kwa mara ya mwisho!
😎 😎 😎 😎 😎 😎 😎 😎 😎 😎 😎 😎 😎 😎 😎 😎😎 😎 😎 😎 😎 πŸ’₯ πŸ’₯ πŸ’₯
 
Si wakutane tu hapo Chato? Oooh sorry kumbe mwenye Chato yake hayupo tena! Hizi hangover hizi za sherehe za kuanzia march 17 zitatuulia akili aisee. Ila acha tusherehekee tu maana hakuna namna sasa.
 
Hii kazi ya ku- sign HGA ilikua ifanyike wiki moja kabla ya kufariki hayati JPM.

Hayo yote ni matunda ya kazi ya JPM, alihakikisha anainyang:'anya Kenya tonge mdomoni ...

Sasa wamebaki kutumia NGOs za mazingira na haki za binadamu kupinga project isifanyike.

Kwa wale wenzangu wapingaji wa prohects za JPM, sijasikia wakisema Mama asiende Ugabda ku- sign kwa sababu mkataba uliandaliwa na utawala wa TanoπŸ™‚

Serikali ya CCM ni ileile - - Mzee Mangula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…