Rais Samia Suluhu kuzuru Uganda Kesho Aprili 11 kwa mwaliko maalumu wa Rais Museveni

Rais Samia Suluhu kuzuru Uganda Kesho Aprili 11 kwa mwaliko maalumu wa Rais Museveni

Bora ss tupumzike na hbr ya chato vjawah ona upumbavu km ule unahamisha ikulu iwe kjjn kwenu kweli hakika tumejifunza mengi
 
Hii kazi ya ku- sign HGA ilikua ifanyike wiki moja kabla ya kufariki hayati JPM.

Hayo yote ni matunda ya kazi ya JPM, alihakikisha anainyang:'anya Kenya tonge mdomoni ...

Sasa wamebaki kutumia NGOs za mazingira na haki za binadamu kupinga project isifanyike.

Kwa wale wenzangu wapingaji wa prohects za JPM, sijasikia wakisema Mama asiende Ugabda ku- sign kwa sababu mkataba uliandaliwa na utawala wa Tano🙂

Serikali ya CCM ni ileile - - Mzee Mangula
Malaika jiwe tayari kafa na ameshafukiwa mkewe soon ataanza kushughulikiwa na mabaharia.

Cha kukushauri tafuta kazi ya kufanya huwezi kula kwa kumsifia mfu akupe cheo.
 
Wasimfundishe tabia mbaya hawa na PAKA ndio waliomharibu jiwe kisha wakasusa hata kumzika
 
Back
Top Bottom