Rais Samia Suluhu kuzuru Uganda Kesho Aprili 11 kwa mwaliko maalumu wa Rais Museveni

Rais Samia Suluhu kuzuru Uganda Kesho Aprili 11 kwa mwaliko maalumu wa Rais Museveni

mbona hilo bomba tunaambiwa ni juhudi za huyo unaemuita mwendazake....kama ni kweli,na kama asingefanya hizo juhudi,mh Rais SSH angeenda kusaini nini hiyo trh 11 hadi utoe sifa zote kwa aneenda kusaini hatua za mwisho na kumuacha kabisa alieupigania huo mradi na kumlaumu kwamba hakumake Tanzania great again?
Hakuna cha juhudi hapo watanzania wacheni kulala usingizi wa pono.
 
Ushabiki mwingine bwana,umesahau Museven kwenye salamu zake za rambi rambi alisema ilikuwa imebaki week moja JPM aende Uganda kusign mkataba wa Bomba la mafuta. Mtu mzima tena naamini una jinsia ya kiume kuwa muongo inafikirisha sana.
Je Me muongo kuliko mwendazake?
 
View attachment 1748167

Unataka kusaidiwa? Hebu kunywa maji kwanza

Fitina kwa marehemu za kushushiwa na maji baridi. Hii hupati sehemu nyingine duniani ni made in Tanzania tu. Eti, eti, eti. Stendi ya mabasi Mbezi ina sababisha foleni. Ukitumia akili kidogo utakuta ni kwa vile imepewa jina la MAGUFULI. Na wanao faidika pale pamoja na wengine ni walalahoi.
 
Hakuna cha juhudi hapo watanzania wacheni kulala usingizi wa pono.
ila tuliambiwa( labda tulidanganywa) kuwa mradi ulikuwa unagombaniwa kati ya kenya na Tanzania..au mwenzetu ambaye umeamka ulisikiaje kuhusu hili?

Kama hayo ni kweli,huo mradi ilikuaje uje Tanzania na siyo kenya? au kenya waliamua kuacha tu ndiyo mradi ukaja Tanzania kama zawadi toka mbinguni? ukinisaidia hili nitafurahi ili nitoke usingizini
 
ila tuliambiwa( labda tulidanganywa) kuwa mradi ulikuwa unagombaniwa kati ya kenya na Tanzania..au mwenzetu ambaye umeamka ulisikiaje kuhusu hili?

kama hayo ni kweli,huo mradi ilikuaje uje Tanzania na siyo kenya? au kenya waliamua kuacha tu ndiyo mradi ukaja Tanzania kama zawadi toka mbinguni? ukinisaidia hili nitafurahi ili nitoke usingizini
Kenya haijawahi kushindwa na uongozi wa jiwe kwenye kampeini.
 

Kabla ya msiba alikua anaenda kuzindua bomba la mafuta pamoja na museven. Bahati kwake kapanda kutoka kwenda kama makamu saiv anaenda kama Rais
 
Chato ile airport saiz ndege pekee zitazokuwa zinatua ni kunguru tuh,na poop,biashara imeisha pale


Thats watsup,

Sisi ndiyo MATAGA wa mama SAMIA,

Sukuma gang wakae standby,either watulie mama afanye kazi,au wakizingua tunawazingua
Ungemalizia na MATAGA WA JIWE.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya safari yake ya kwanza ya kikazi nje ya Nchi kwa majirani zetu Uganda.

Rais Museveni amemualika Rais Samia kwenye kuzungumzia masuala mbalimbali huku kubwa likiwa ni bomba la Mafuta ghafi kutoka Hoima

View attachment 1748106
Bila shaka na huko kwenye Bomba la mafuta kuna madudu tena.
 
Back
Top Bottom