HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,921
- 6,646
Mmmh 🚮🚮🚮🚮 ndo tatokaje hiyo!!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nikiwa Rais, siwezi kuruhusu maandamano ya kijinga kama ya leo. Watu wanatakiwa wafanye kazi na sio kuandamana!Kipindi cha Rais samia cha sasa kuna mambo mengi yamekua hayaendi sawa Kupanda kwa vitu bei ila kwenye suala la kuruhusu maandamano ameonyesha busara na hekima ya hali ya juu sana kitu ambacho marais waliotangulia walikosa
Kipindi cha magufuli kuna dada wa kitanzania anayeishi marekani sahivi ni billionaire kwa habari za umbeya alitishia maandamano nguvu ambazo magufuli alizitumia zilikua ni kubwa sana mixer ndege za kivita zilikua zinapita kwenye makazi ya watu alionyesha kutokua mstaarabu, kukosa busara na hekima kwa kiwango cha juu sana. Mara nyingi sana magufuli alikua anavunja katiba wazi-wazi yaan magufuli alikua anaifuata katiba anapojisikia au inaposuit his agenda
Maandamano ya 2002 kulikua na matumizi ya nguvu makubwa sana mpaka lipumba amavunjwa mkono na watu kadhaa kuuliwa baadae mkapa alisema lile tukio analijutia sana ila anasema alishauriwa vibaya
Katiba ya Tanzania inampa Rais option ya kutokuifuata na mda huo huo inampa hakikisho la kumlinda ashishtakiwe, yaan Rais wa Tanzania anaweza akawa dikteta na bado katiba ikamlinda sababu akiondoka madarakani ashtakiwi
Katiba inaruhusu maandamano lakin Rais anaweza zuia maandamano kwa utashi wake na still katiba ikaendelea kumlinda kushrakiwa hata baada ya
Kumaliza kipindi chake cha urais
Mnyonge mnyongeni ila kwenye hili Rais samia anahitaji pongezi sana
Ni kwa Neema na Baraka za Mungu tu haya yote yamewezekana na kufanyika hivi yaliyofanyika manafuaa ya waTanzania wote🌹Wewe kwenye siasa sio mtu wa kawaida. Unajua hawaamini?!!!
Ndo maana sio RaisMimi nikiwa Rais, siwezi kuruhusu maandamano ya kijinga kama ya leo. Watu wanatakiwa wafanye kazi na sio kuandamana!
Hahaha Akili za Bavicha bana 😂Sema ameshindwa kuzuia maandamano baada ya Mbowe kumzidi ujanja Kwa kushirikisha UN na mabalozi wa USA na Uingereza.
Ikiwa alikuwa na Nia njema kuruhusu maandamano, why wanajeshi hawakujitikeza yalipotokea mafuriko, waje kufanya usafi siku ya maandamano ya CHADEMA?
Huna HOJA.
kwa maana hiyo unataka kusema wanajeshi wapelekwe mipakaniKAZI ya Jeshi ni kulinda mipaka ya nchi .
Ulinzi wa ndani ni WA polisi.kwa maana hiyo unataka kusema wanajeshi wapelekwe mipakani