eliasmisinzo
JF-Expert Member
- Aug 13, 2021
- 1,259
- 1,321
Tusiwe wanafiki, hili la kuruhusu maandamano apongezwe, jambo hili liliwashinda Marais wa kiume wote watano, yeye kaliweza, tayari ameingia katika Kitabu Cha KUMBUKUMBU. Rais aliyepita alisema mkurugenzi ambaye eneo lake atachaguliwa mpinzani Hana kazi, mama mlezi aangalie chaguzi zijazo aruhusu sanduku la kura lichague aliyechaguliwa na Wananchi. Tumpongeze japo yupo kwenye Chama kinachofurahia dhulma.View attachment 2881581
Huyo raisi mwenyewe hata ana habari
basi nini kinaendelea Tanzania, muda huu yupo zake Indonesia huko.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app