Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
- Thread starter
- #61
Kwenye maisha hatakama mtu ni adui yako still ana mazuri yakeNakubaliana na wewe, akifanya vizuri tumpe pongezi na akikosea tumseme, kwa hili nampongeza sn Rais Samia
Samia ana mapungufu mengi liko wazi ila kwenye hili la maandamano anahitaji pongezi
Swala sio haki au sheria ukweli ni kwamba katiba ya nchi hii inampa nafasi Rais kuwa dikteta na kumlinda