Pre GE2025 Rais Samia Suluhu kwenye hili la kuruhusu maandamano anahitaji sana pongezi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kipindi cha Rais samia cha sasa kuna mambo mengi yamekua hayaendi sawa Kupanda kwa vitu bei ila kwenye suala la kuruhusu maandamano ameonyesha busara na hekima ya hali ya juu sana kitu ambacho marais waliotangulia walikosa

Kipindi cha magufuli kuna dada wa kitanzania anayeishi marekani sahivi ni billionaire kwa habari za umbeya alitishia maandamano nguvu ambazo magufuli alizitumia zilikua ni kubwa sana mixer ndege za kivita zilikua zinapita kwenye makazi ya watu alionyesha kutokua mstaarabu, kukosa busara na hekima kwa kiwango cha juu sana. Mara nyingi sana magufuli alikua anavunja katiba wazi-wazi yaan magufuli alikua anaifuata katiba anapojisikia au inaposuit his agenda

Maandamano ya 2002 kulikua na matumizi ya nguvu makubwa sana mpaka lipumba amavunjwa mkono na watu kadhaa kuuliwa baadae mkapa alisema lile tukio analijutia sana ila anasema alishauriwa vibaya

Katiba ya Tanzania inampa Rais option ya kutokuifuata na mda huo huo inampa hakikisho la kumlinda ashishtakiwe, yaan Rais wa Tanzania anaweza akawa dikteta na bado katiba ikamlinda sababu akiondoka madarakani ashtakiwi

Katiba inaruhusu maandamano lakin Rais anaweza zuia maandamano kwa utashi wake na still katiba ikaendelea kumlinda kushrakiwa hata baada ya
Kumaliza kipindi chake cha urais

Mnyonge mnyongeni ila kwenye hili Rais samia anahitaji pongezi sana
KATIBA YA TANZANIA NDIYO INAYORUHUSU MAANDAMANO, WENGINE NI WATEKELEZAJI TU WA SHERIA.
 
Mtoa mada ana appreciate utekelezaji wa sheri hiyo kipindi hiki (cha Samia) kwa kurejea kipindi kilichopita, ambapo maandamano yalizuiliwa kwa nguvu na hivyo kuleta madhara.
 
Kwema Waheshimiwa!

Jana nilibahatika kuwa kwenye maandamano angalau kwa lisàa limoja. Kiukweli haya maandamano kama yangezuiwa na Polisi yangeijenga CHADEMA kuliko yalivyoachwa yafanyike.

Maandamano yamemjenga Mama kisiasa hasa kimataifa kuwa Rais aliyepo madarakani anazingatia Haki na uhuru wa kujieleza. Jambo hili ndilo ambalo Mtangulizi wake Magufuli alifeli, nafikiri ni kutokana na hofu isiyo na sababu ya msingi.

Madai ya Chadema ni halali lakini yamedhihirisha kuwa Sio hitaji la Watanzania wengi. Yaani ile kusema kuwa Watanzania wengi wanahitaji katiba, au maisha magumu imedhihirika kwenye maandamano haya kuwa ni kauli za Watu wachache. Kwani wengi wa watanzania wameridhishwa na katiba iliyopo na hali ngumu ya maisha iliyopo.

Wakati tunapita Watu wengi walikuwa wanatushangaa kana kwamba hatuhusiani nao. Madai yetu sió yao. Maisha yetu sio yao. Walikuwa wamesimama barabarani pembeni wakitushangaa.

Nashauri CHADEMA iandae maandamano mengine kwani haya ya kwanza naona watanzania ni kama ndio wameamshwa kutoka usingizini.

Siku njema
 
Naunga mkono hoja,
P
 
Maandamano yatamjenga pale tu atakapotekeleza madai ya waandamanaji. Kwenu wewe jamaa huoni madai ya kwenye mabango ya waandamanaji yalikuwa na mashiko?
Katiba mpya, gharama za maisha kuwa juu sana, tume huru ya uchaguzi n. k
 
Katiba inaruhusu maandamano lakin Rais anaweza zuia maandamano kwa utashi wake na still katiba ikaendelea kumlinda kushrakiwa hata baada ya
Kumaliza kipindi chake cha urais
Usijidanganye, akivuja katika kwa kiburi, kiburi, kiburi, IKIINGIA MADARAKANI SERIKALI NYINGINE anaundikwa court martial anashitakiwa. Usijidanganye, kAma yeye anaivunja KATIBA KWA KIBURI, basi na wengine wakija wanaivunja KATIBA wanamshitaki for the good intention.

HAKUNA KITU KIBAYA KAMA KUVUNJA KATIBA
 
Kipindi cha Rais samia cha sasa kuna mambo mengi yamekua hayaendi sawa Kupanda kwa vitu bei ila kwenye suala la kuruhusu maandamano ameonyesha busara na hekima ya hali ya juu sana kitu ambacho marais waliotangulia walikosa

Kipindi cha magufuli kuna dada wa kitanzania anayeishi marekani sahivi ni billionaire kwa habari za umbeya alitishia maandamano nguvu ambazo magufuli alizitumia zilikua ni kubwa sana mixer ndege za kivita zilikua zinapita kwenye makazi ya watu alionyesha kutokua mstaarabu, kukosa busara na hekima kwa kiwango cha juu sana. Mara nyingi sana magufuli alikua anavunja katiba wazi-wazi yaan magufuli alikua anaifuata katiba anapojisikia au inaposuit his agenda

Maandamano ya 2002 kulikua na matumizi ya nguvu makubwa sana mpaka lipumba amavunjwa mkono na watu kadhaa kuuliwa baadae mkapa alisema lile tukio analijutia sana ila anasema alishauriwa vibaya

Katiba ya Tanzania inampa Rais option ya kutokuifuata na mda huo huo inampa hakikisho la kumlinda ashishtakiwe, yaan Rais wa Tanzania anaweza akawa dikteta na bado katiba ikamlinda sababu akiondoka madarakani ashtakiwi

Katiba inaruhusu maandamano lakin Rais anaweza zuia maandamano kwa utashi wake na still katiba ikaendelea kumlinda kushrakiwa hata baada ya
Kumaliza kipindi chake cha urais

Mnyonge mnyongeni ila kwenye hili Rais samia anahitaji pongezi sana
Mbona mnasifia mapema mno? Maandamano ni haki ya kikatiba na sio fadhila. Asifiwe baada ya maandamano mengine na ya wengine kufanyika bila bughudha.

Amandla...
 
Kipindi cha Rais samia cha sasa kuna mambo mengi yamekua hayaendi sawa Kupanda kwa vitu bei ila kwenye suala la kuruhusu maandamano ameonyesha busara na hekima ya hali ya juu sana kitu ambacho marais waliotangulia walikosa

Kipindi cha magufuli kuna dada wa kitanzania anayeishi marekani sahivi ni billionaire kwa habari za umbeya alitishia maandamano nguvu ambazo magufuli alizitumia zilikua ni kubwa sana mixer ndege za kivita zilikua zinapita kwenye makazi ya watu alionyesha kutokua mstaarabu, kukosa busara na hekima kwa kiwango cha juu sana. Mara nyingi sana magufuli alikua anavunja katiba wazi-wazi yaan magufuli alikua anaifuata katiba anapojisikia au inaposuit his agenda

Maandamano ya 2002 kulikua na matumizi ya nguvu makubwa sana mpaka lipumba amavunjwa mkono na watu kadhaa kuuliwa baadae mkapa alisema lile tukio analijutia sana ila anasema alishauriwa vibaya

Katiba ya Tanzania inampa Rais option ya kutokuifuata na mda huo huo inampa hakikisho la kumlinda ashishtakiwe, yaan Rais wa Tanzania anaweza akawa dikteta na bado katiba ikamlinda sababu akiondoka madarakani ashtakiwi

Katiba inaruhusu maandamano lakin Rais anaweza zuia maandamano kwa utashi wake na still katiba ikaendelea kumlinda kushrakiwa hata baada ya
Kumaliza kipindi chake cha urais

Mnyonge mnyongeni ila kwenye hili Rais samia anahitaji pongezi sana
Kwa maoni yangu wote wanahitaji pongezi Rais Samia na Chadema, wamebadilisha mtizamo wa kisiasa nchini na kwa maandamano yenyewe kwanza kwa Rais kuyaruhusu ni credit na Chadema kuyafanya kwa amani ni credit pia. Hii ni sura mpya kwa wapenda amani na funzo kwa wapenda siasa za fujo na mauaji. Tuone utekelezaji wa serikali na Bunge kuhusu matamanio ya wananchi kwenye maoni. Njia imeonyeshwa na wenye macho tumeona. twende hatua nyingine ya maboresho ya kweli kwa vile la ustahimilivu/uvumilivu kwa hatua ya awali tumeliona.
 
Back
Top Bottom