Pre GE2025 Rais Samia Suluhu kwenye hili la kuruhusu maandamano anahitaji sana pongezi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mmmh ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ ndo tatokaje hiyo!!?
 
Mimi nikiwa Rais, siwezi kuruhusu maandamano ya kijinga kama ya leo. Watu wanatakiwa wafanye kazi na sio kuandamana!
 
Wewe kwenye siasa sio mtu wa kawaida. Unajua hawaamini?!!!
Ni kwa Neema na Baraka za Mungu tu haya yote yamewezekana na kufanyika hivi yaliyofanyika manafuaa ya waTanzania wote๐ŸŒน
 
CCM kumekusanyika vichaa wengi idadi yake ukitajiwa utajuta! Huyu aliyeandika uzi huu, naye ni miongoni mwao
 
Maandamano raha yake mtembee huku mnalia kwa mabomu ya machozi
 
Acheni ujinga na uchawa siasa gani nchii ipo gizani?? Tanesco wanasambaza giza.anapaswa kuachia ngazi awaaachie wenye uwezo.
 
Hahaha Akili za Bavicha bana ๐Ÿ˜‚
 
Kama kuna vitu kwenye Siasa ambavyo Shujaa Magufuli rip aliviogopa basi nadhani ni hivi vitatu;

Mosi, kukaa Meza moja na Wapinzani wa kisiasa kuzungumza

Pili, Mikutano ya vyama vya Siasa

Tatu, Maandamano

Nichukue fursa hii kumpongeza kwa dhati kabisa Rais wa awamu ya 6 Mh Dr Samia kwa kuyaruhusu mambo Hayo matatu tena kwa uwazi kabisa

Kimsingi kwenye Siasa za Tanzania tunaweza kabisa kupingana bila kupigana au kutesana kwani Sisi sote ni wamoja

Mungu wa Mbinguni mbariki Rais Samia

Mlale Unono ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„
 
Mama ni mwanamapinduzi halisi,

Mama ni mwanamageuzi halisi,

Mama ni mwadipolomasia mashuhuri duniani,

Mama ni kiongozi wa aina mpya karne mpya,

Mama ni madhubuti anae thubutu ๐Ÿ’
 
umekua mtu mzima sasa, kwa wazazi utaishi mpaka mnvi ziwe zinanyonyoka zenyewe kama dingiii sio ๐Ÿคฃ

toka kwa wazazi bana pambana kitaa ili uwe na vyako lakini pia uwe na mawazo yako sio kuhemshwa na ya wenzio....
 
Kisa kilicho sikitisha sana ni pale Mange Kimambi alipo itisha maandamano nafikiri ilikuwa 2019 .

Tena mamahuyo aliitisha maandamano akiwa Marekani ,lakini JPM alihangaika nayo si mchezo mpaka kufikia hatua ya kurusha ndege ya kivita angani eti kuzuia maandamano ,polisi wakamwagwa mtaani kama njugu.

Ilisikitisha sana ,mtu kuogopa maandamano kana kwamba amesikia Simba jike kaachiwa mtaani na anararua watu!
 
Kama alimmiminia mtu vyuma mchana kweupe bila aibu aogope vimaandamano kama cha leo??

Vigogo kibao kawaminya na wakatii, miili kibao iliokotwa, mtu kama huyu aogope vikusanyiko???

Hakuogopa maandamano ila hakutaka ujinga.
 
Yule mhutu kumuita shujaa ni matusi kwa mshujaa wa ukweli.

Mhutu alikuwa mpuuzi, kichaa, mshamba na dikteta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ