Rais Samia Suluhu: Mkikidhi vigezo, Chato tutaifanya kuwa Mkoa

Ukabila ni turufu ya mwisho ya CCM kuendelea kubaki madarakani, na Magufuli alikuwa ameandaliwa kwa hilo.

CCM waliamini kabisa, kuwa Chadema ilikuwa ni hatari sana kwa wao kuendelea kula keki peke yao.

Magufuli aliandaliwa ili kura za Wasukuma ziende CCM lakini kutokana na Magufuli na utawala wake wa mkono wa Chuma ilipofika Uchaguzi wa 2020 Wasukuma wengi walipanga kumtosa, ndipo CCM wakafanya wizi wa kutisha kupata kutokea kwenye nchi ya kidemokrasia.
 
sisi ni waafrika sio wazungu,tatizo umezaliwa ukiwa na tamaa ya Mali za wenzako
 
kwani chato ikiwa mkoa wewe utapongukiwa nini,acha wivu kwa mambo yasiyo kuhusu
 
ila haijakaa vizuri kwangu binafsi yani Geita ikatwe baada ya miaka mitano ya kuinyanyapaa kujenga kila kitu Chato? Chato inaweza kuwa mji ndani ya mkoa wa Geita!
 
Maza kajibu kiutu uzima...

Ni kama uulizwe lini utajenga ukweni. Unawaacha 50 50.
 
Hili ndio jibu tosha la maada hii,nahakika samia akiliona hili jibu ndio kitakuwa kipaumbele chake
 
Mama Samia aangalie huko Kisiwani Pemba wana dhiki iliyosababishwa kisiasa ajikite zaidi katika kulijenga hili Taifa maana kujenga Nchi inakuwa rahisi iwapo Taifa liko imara
 
Ule uwanja wa ndege kwushnei.
Tuliwaambia uvccm kuwa uwanja huu haukupaswa kuwekwa Chato kwasasa wakabisha.
Haya nendeni mkaugeuze danguro
 
Naomba na sengerema isogozwe mkoa wa Chato maana imezidi ukubwa.
 
Wabongo bana. Utazani hawataki maendeleo.

Aliondoka pinda wakasema kama wewe.

Sasa hivi kule mpanda ndege zinatua.

Hapo chato airport patanoga na hautaamini macho yako
mkuu umenikumbusha kweli huyu mwamba yupo wapi ni muda sasa sijawahi kumuona wala kumsikia nilitegemea leo nitamuona msibani lakin sijafanikisha kabisa(MIZENGO PINDA) waziri mkuu mstafu,Kama unahabari zake tafadhali
 
mkuu umenikumbusha kweli huyu mwamba yupo wapi ni muda sasa sijawahi kumuona wala kumsikia nilitegemea leo nitamuona msibani lakin sijafanikisha kabisa(MIZENGO PINDA) waziri mkuu mstafu,Kama unahabari zake tafadhali
Yupo mzima. Mara ya mwisho kumuona ni tarehe 20 machi 2021 pale lumumba. Kwenye kikao Cha kamati kuu ya CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…