mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 7,013
- 10,000
Chato itabakia kuwa Gbadolite ya Tanzania. Mungu hakupenda ujinga na UPUMBAVU wa Mwendazake kuchukua raslimali za nchi na kwenda kuzirundika kijijini kwake Chato.
Ndiyo maana akamdedisha. Magufuli alikuwa IBILISI. Ni misukule yake tu ndiyo imebaki inamuita shujaa wa Afrika. Labda wa Afrika Sana pale Corner bar
Hajawahi kuwa hata msuruhishi wa hata wilaya moja wapo ya Kenya,Mkuu samahan,, nijulishe vigezo vinavyotumika mpaka kiongoz kuitwa shujaa wa Africa. Ni hilo tu mkuu
Kama Sukuma Gang wanamwita mwendazake shujaa wa Afrika, Mandela so atakuwa shujaa wa Dunia your na mbingu.
Sijui hwa Mataga wa sukuma Gang wanaelewa?