Rais Samia Suluhu: Mkikidhi vigezo, Chato tutaifanya kuwa Mkoa

Hakuna rais aliyewahi kuwapa watanzania mzigo mkubwa kama magufuli.
Ingekuwa ni familia basi nyumba na shamba lenu vinauzwa mke na watoto wanaombewa hifadhi kwa majirani.
Sema wewe na mafisadi wenzio na mtamkumbuka sana kwa kuwanyoosha!
IMG-20210528-WA0039.jpg
 
Kuwa juu kidiplomasia huku ikiwa chini kiuchumi ni upumbavu, uhuru wa kweli ni wa kiuchumi
Ni lini Mwendazake alipandisha uchumi wa Tanzania? Au na wewe ni mhanga wa Takwimu fake za 7.90% na uchumi wa kati?

Unakubali kuwa umepanda uchumi huku bado matundu ya vyoo vya shule unajengewa na USAID??
 
Kajibu hivi

'Suala la Chato kuwa Mkoa nimeambiwa tayari mchakato umeanza naelekeza lishughulikiwe kama vigezo vimekidhi Chato iwe Mkoa na kama vigezo havijakidhi tuwaelekeze nini cha kufanya ili viweze kukidhi na tumuenzi Hayati Magufuli.'

Ni jibu zuri sana sana na nijibu la kiuongozi na sio jibu la kukurupuka.
Chato uwe Mkoa? Maajabu makubwa. Labda lengo ni kupata kichekesho cha nchi pale kijiji kinapogeuzwa kuwa mkoa.

Chato, ukiacha miundombinu ya kifisadi iloyopelekwa na marehemu, mambo mengine yote, unaweza kulinganisha na makao makuu ya tarafa kwenye baadhi ya mikoa.

Ni mwendawazimu pekee ambaye anafikiria kuwa hata mahali duni pakibadilishwa na kuitwa mkoa au wilaya, basi patabadilika na kuwa na maendeleo makubwa. Na laiti kama ni hivyo, basi kila kijiji iwe wilaya, na kila kata uwe mkoa ili Tanzania iwe nchi iliyoendelea kuliko mataifa yote Duniani.
 
upuuzi tupu, na jiwe angesha ugawa huu mkoa, tunataka umoja wa afrika huku sisi tukiendelea kugawana kidogo kilichopo badala ya kuungana.
 
Ni lini Mwendazake alipandisha uchumi wa Tanzania? Au na wewe ni mhanga wa Takwimu fake za 7.90% na uchumi wa kati?

Unakubali kuwa umepanda uchumi huku bado matundu ya vyoo vya shule unajengewa na USAID??
Toa takwimu zako halali na unishawishi. Uchumi wa Tanzania utajengwa na watanzania wote siyo serikali tu.
 
Chato uwe Mkoa? Maajabu makubwa. Labda lengo ni kupata kichekesho cha nchi pale kijiji kinapogeuzwa kuwa mkoa.

Chato, ukiacha miundombinu ya kifisadi iloyopelekwa na marehemu, mambo mengine yote, unaweza kulinganisha na makao makuu ya tarafa kwenye baadhi ya mikoa.

Ni mwendawazimu pekee ambaye anafikiria kuwa hata mahali duni pakibadilishwa na kuitwa mkoa au wilaya, basi patabadilika na kuwa na maendeleo makubwa. Na laiti kama ni hivyo, basi kila kijiji iwe wilaya, na kila kata uwe mkoa ili Tanzania iwe nchi iliyoendelea kuliko mataifa yote Duniani.
Serikali ikiamua kupandisha hadhi huwezi kuzuia huku jf. Acha tu pawe mkoa kwani inakuuma nini.
Kuna watu kufuata miundo mbinu na miundo mbinu kufuata watu. Ukitaka kuthibitisha hilo katika sehemu ulipo linganisha gharama ya eneo lililoko karibu na huduma za kijamii kama barabara,soko, shule, hospitali, n.k na eneo lililombali na huduma kama hizo
 
Back
Top Bottom