Rais Samia Suluhu: Mkikidhi vigezo, Chato tutaifanya kuwa Mkoa

Mkuu samahan,, nijulishe vigezo vinavyotumika mpaka kiongoz kuitwa shujaa wa Africa. Ni hilo tu mkuu
Hajawahi kuwa hata msuruhishi wa hata wilaya moja wapo ya Kenya,

Kama Sukuma Gang wanamwita mwendazake shujaa wa Afrika, Mandela so atakuwa shujaa wa Dunia your na mbingu.

Sijui hwa Mataga wa sukuma Gang wanaelewa?









 
Unauhakika chato ndiyo iliyo mzaa?
 
Duuu ngoja niombe kuhamia mkoa wa chato nikafaidi mema ya nchi
 
Umeumia sana na bado mengi ya kukukera yanakuja
 
Unaongeaa ukiwa kwenye keyboard..fika kwa ground ndo utajua hujui..Chato kunazidi noga kila siku...
 
Binafsi naithamini butiama kuliko chato, sijui kwa nn mzee nyerere hakuanzisha mkoa wa butiama
Pia Butiama na mkoa wa Mara kiujumla umetoa watu wengi Smart kuliko huko maporini chattle!

Swali fikirishi hivi wazee wetu wa Mara wangeamua kulinda legacy ya Mwalimu na kuamua kufanya kama dynasty hivi hawa washamba wangepata nafasi za uongozi lini?
 
Unaongeaa ukiwa kwenye keyboard..fika kwa ground ndo utajua hujui..Chato kunazidi noga kila siku...
Hamna lolote hapo! Ni matumizi mabaya ya raslimali na hatuwezi kukaa kimya. Tutayasemea siku zote.

Hata huo uwanja uliijengwa hapo haukustahili. Maana hata Ndege yenyewe inakuja hapo kama transit na siyo destination. Wanaoteremka hapo ni wenyeji wa Muleba na Geita na Sengerema.

Chato itabakia kuwa maarufu kuwa ni mahali alioozaliwa DIKTETA muuaji, aliyetaka kuiharibu Tanzania na akazikwa hapo na MAUJINGA yake.
 
Atayeruhusu Chato iwe mkoa, na Lindi,Morogoro,Tabora na Ruvuma ziendelee kuwa vile KISA kumfurahisha MUOZA ZAKE dikteta mpumbavu Magufuli atakuwa mpumbavu kuliko huyo Magufuli.
Mwanza imezaa mikoa miwili Simiyu na Geita na sasa Geita inaenda kuzaa mkoa wa chato wakati Kuna mamikoa makubwa Kama morogoro na Tabora hawayafikilii kabisaaa.
 
Magu alidhalilisha Sana nchi yetu ambayo ilikuwa juu kidiplomasia. Neno Shujaa wa Afrika liliyengenezwa na media propagandists wake ili kujikomba. Angekuwa shujaa hata wa Afrika Mashariki si tungemuona Paul Kagame na Museveni wakija kumuzika??

Ile ilikuwa TAKATAKA tu !!
 
Umeumia sana na bado mengi ya kukukera yanakuja
Lazima niumie kwa jinsi Kichaa Mwendazake alivyoharibu uchumi, hilo halina ubishi.

Ni mwemdawazimu tu misukule ndiyo watashangilia namna Mwendazake alivuoyawala HOVYO nchi yetu. Na Mungu wetu anatupenda ndiyo maana kamfurusha jehanam takataka yule
 
Kama umeona chato pamejengeka nenda tu kaishi huko
 
Yaaani magufuli alikuwa shujaa wa afrika.hata kuwa kuwa shujaa wa kijiji hafai .labda iludiwe iludiwe
 
Kuwa juu kidiplomasia huku ikiwa chini kiuchumi ni upumbavu, uhuru wa kweli ni wa kiuchumi
 
Lazima niumie kwa jinsi Kichaa Mwendazake alivyoharibu uchumi, hilo halina ubishi.

Ni mwemdawazimu tu misukule ndiyo watashangilia namna Mwendazake alivuoyawala HOVYO nchi yetu. Na Mungu wetu anatupenda ndiyo maana kamfurusha jehanam takataka yule
Kama uchumi wako umeharibika utakuwa umeharibu mwenyewe
 
Mtanyooka tu
 
Mshenzi mama yako na ukoo wenu wote!
 
HIVI MBONA MNAPENDA SANA KUABUDU MAHOKA???

UTAWALA WA HUYU MTU NDO WATU WALIOKUFA WALIELEA MTO RUVU, INDIAN OCEAN!

WHAT IS THE SO peculiar from that person?? 🤨🤨🤨😶😶 Shame on you!!!
Hata wewe na shangaa kwanini hukufa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…