Rais Samia Suluhu: Mkikidhi vigezo, Chato tutaifanya kuwa Mkoa

Hatuwezi kubadili jina la Mkoa wa Geita kwa ajili ya kuwafurahisha watu wenye akili fupi eti kumuenzi Mwendazake!! Why so much propaganda?? Ni nini cha ziada alichofanya zaidi ya UDIKTETA, kutumia raslimali za nchi vibaya kwa kujenga miundombinu ya kitaifa kijijini kwake??

Kosa amefanya yeye kuweka vitu Chato badala ya Geita au Kagera, halafu eti sisi tunajadili kubariki kosa la Mwendazake kwa kuanza kumega ardhi za hiyo mikoa jirani?? Kweli TUTADHARAURIWA sana na vizazi vijavyo tukifanya hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…