Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Nia na dhamira yake njema ni ya wazi na yenye lengo la kuhakikisha umoja, amani na utangamano miongoni wananchi na Tanzania kwa ujumla, ni imara licha ya utofauti wa mirengo ya kisiasa au kidini, lakini kama Taifa tunabaki kua ndugu, jamaa na marafiki kwa maslahi mapana ya Taifa.
Dr.Samia Suluhu Hassan ndiyo sura ya Taifa letu kimataifa na ndie kichocheo kikuu cha kuaminika, kuheshimika na kukubalika kwa Tanzania ulimwenguni, hususani kwenye mashirika na Taasisi za kikanda za kimataifa.
Busara, Hekima na upole wa Dr.Samia Suluhu Hassan ni ishara ya amani, utulivu na mshikamano miongoni mwa waTanzania.
Wanasiasa na wanazuoni mbalimbali hasa vijana, wanayo fursa muhimu ya kujifunza mambo mengi sana muhimu, kutoka kwa Dr.Samia Suluhu Hassan, muhubiri mkuu wa amani, upendo na umoja miongoni mwa waTanzania.
Ni muhimu vijana pia, kua makini na kuepuka kujifunza kutoka kwa viongozi waliofilisika hoja na sasa wana hubiri chuki, uhasama na migawanyiko miongoni mwa waTanzania. Hao, ni lazma kuwaogopa na kuwakwepa kama ukoma.
Na,
kwa neema na baraka za Mungu, kama mambo yakienda kama yalivyo mazuri hivi sasa, Dr.Samia Suluhu Hassan, anaweza kuongoza Taifa letu hadi 2035
Mungu Ibariki Tanzania
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.