Rais Samia Suluhu ndie kiongozi pekee wa kisiasa Tanzania ambae ni kielelezo cha uzalendo na nembo ya umoja wa kitaifa na kimatafa

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Nia na dhamira yake njema ni ya wazi na yenye lengo la kuhakikisha umoja, amani na utangamano miongoni wananchi na Tanzania kwa ujumla, ni imara licha ya utofauti wa mirengo ya kisiasa au kidini, lakini kama Taifa tunabaki kua ndugu, jamaa na marafiki kwa maslahi mapana ya Taifa.

Dr.Samia Suluhu Hassan ndiyo sura ya Taifa letu kimataifa na ndie kichocheo kikuu cha kuaminika, kuheshimika na kukubalika kwa Tanzania ulimwenguni, hususani kwenye mashirika na Taasisi za kikanda za kimataifa.

Busara, Hekima na upole wa Dr.Samia Suluhu Hassan ni ishara ya amani, utulivu na mshikamano miongoni mwa waTanzania.

Wanasiasa na wanazuoni mbalimbali hasa vijana, wanayo fursa muhimu ya kujifunza mambo mengi sana muhimu, kutoka kwa Dr.Samia Suluhu Hassan, muhubiri mkuu wa amani, upendo na umoja miongoni mwa waTanzania.

Ni muhimu vijana pia, kua makini na kuepuka kujifunza kutoka kwa viongozi waliofilisika hoja na sasa wana hubiri chuki, uhasama na migawanyiko miongoni mwa waTanzania. Hao, ni lazma kuwaogopa na kuwakwepa kama ukoma.

Na,
kwa neema na baraka za Mungu, kama mambo yakienda kama yalivyo mazuri hivi sasa, Dr.Samia Suluhu Hassan, anaweza kuongoza Taifa letu hadi 2035 :BASED:

Mungu Ibariki Tanzania
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
 
Utashangaa CHADEMA kwa roho zao mbaya na wivu wanapinga ukweli huu mchungu. CHADEMA wanajijua wenyewe akili zao.
 
Nchi yetu Ina wajinga wengi. Ukiwa na akili timamu ni lazima ujue kwamba kwasasa Tanzania inaongozwa na bomu lakini kwa jinga kama wewe huwezi kutambua hivyo
 
Naona uzi umedoda. Itaje cdm ili upate wachangiaji wengi.
 
🤮 🤮

Uchawa ni ugojwa
 
Naona uzi umedoda. Itaje cdm ili upate wachangiaji wengi.
umejivungaaaaa weeee hatimae umeshindwa kuvumilia umelitema bungo mwenyewe :pedroP:

Gentleman,
mbobevu nikitoa lecture au hoja, its up to you usome au usisome, huo ni uhuru na haki yako..

kuongeza ueleawa na ufahamu wako juu ya mambo mbalimbali humu jukwaani ni uamuzi na hiyari yako my friend, huna haja kubabaika,

watu wana kazi na majukumu yao gentleman,
usidhani kila muda wanag"aa macho jukwaani kama wewe mzururaji:pedroP:
Nchi yetu Ina wajinga wengi. Ukiwa na akili timamu ni lazima ujue kwamba kwasasa Tanzania inaongozwa na bomu lakini kwa jinga kama wewe huwezi kutambua hivyo

sasa muerevu kua na mihemko tu,
bila ya kua na mawazo mapya wala fikra mbadala, hiyo ni janga kwa chadema:pedroP:
 
wanaumia mno kuona au kuambiwa ukweli kama huu kumuhusu Dr.SAMIA SULUHU HASSAN, kiongozi na kipenzi cha waTanzania wote
CHADEMA kwa sasa wana msongo wa mawazo mkubwa sana .Ndio Maana matusi yamewatawala katika midomo yao baada ya kuona wanapuuza na kukataliwa na watanzania kutokana na ubabaishaji wao
 
Uzi wa chawa ambaye bado kidogo abadilike kuwa kunguni.
 
mihemko na makasiriko bila hoja ni chanzo cha umaskini wa fikra:pedroP:

Katambike huu mwezi. Kazi za uchawa zitapitwa na wakati ndugu yangu. Mdada mzima kila siku kushinda kusifia watu ambao ambao wanateka watanzania wenzako, wana nyima demokrasia kwa wananchi, wanakula ruhswa na kuweka mikataba ya rushwa kwasababu ya tumbo lako tu kama hizo sio laana ni nini. Kesho ulienda mbinguni Mungu akakuuliza ulifanya nini kusaidia nchi yako utasema ulikuwa chawa wa Mama!!. Kajibizane na wengine mimi ndiyo ya mwisho hii
 
unt Suzy naona mihemko taratibu inaanza kwisha 🤣

utazoea tu ukweli taratibu usijali ..

hata hivyo,
kwani wewe ukifika huko mbinguni ukiulizwa ulifanya nini duniani, zaidi ya kukurupuka na kulalamikia kila kitu kwa mihemko, una la ziada kweli?🤣

maana huna la maana zaidi ya kuchukia ukweli, japo ni mchungu..

ikiwa umechoka, wambie makamanda wengine hata mia waje tu na wasiogope niwaeleze mambo muhimu 🐒
 
Nia na dhamira yake njema ni ya wazi na yenye lengo la kuhakikisha umoja, amani na utangamano miongoni wananchi na Tanzania kwa ujumla, ni imara licha ya utofauti wa mirengo ya kisiasa au kidini, lakini kama Taifa tunabaki kua ndugu, jamaa na marafiki kwa maslahi mapana ya Taifa.

Dr.Samia Suluhu Hassan ndiyo sura ya Taifa letu kimataifa na ndie kichocheo kikuu cha kuaminika, kuheshimika na kukubalika kwa Tanzania ulimwenguni, hususani kwenye mashirika na Taasisi za kikanda za kimataifa.

Busara, Hekima na upole wa Dr.Samia Suluhu Hassan ni ishara ya amani, utulivu na mshikamano miongoni mwa waTanzania.

Wanasiasa na wanazuoni mbalimbali hasa vijana, wanayo fursa muhimu ya kujifunza mambo mengi sana muhimu, kutoka kwa Dr.Samia Suluhu Hassan, muhubiri mkuu wa amani, upendo na umoja miongoni mwa waTanzania.

Ni muhimu vijana pia, kua makini na kuepuka kujifunza kutoka kwa viongozi waliofilisika hoja na sasa wana hubiri chuki, uhasama na migawanyiko miongoni mwa waTanzania. Hao, ni lazma kuwaogopa na kuwakwepa kama ukoma.

Na,
kwa neema na baraka za Mungu, kama mambo yakienda kama yalivyo mazuri hivi sasa, Dr.Samia Suluhu Hassan, anaweza kuongoza Taifa letu hadi 2035 :BASED:

Mungu Ibariki Tanzania
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
Ahsante shoga yangu kwa kutambua hilooo,
 
Maavi matupu huko kwetu Zenj hata Tanga na Mambasa husema,. Usitake kunitapisha na kuntaafisha mwanangu kwa jinamizi hili. Je amekutuma au unajituma kama siyo kujikomba? Maybe, unatafuta kiki maana sioni kama unajua maana ya uzalendo. Anyways, kamuulize Mchengetwa.
 
Back
Top Bottom