Rais Samia Suluhu piga chini daraja la Kigongo - Busisi haijalishi lilipofikia

CHADEMA ni wabanaji wazuri sana wa matumizi na ndio maana baada ya kujenga ofisi wameamua kupanga kwa zaidi ya miaka 20.
 
For sure mleta uzi utakuwa mchagga muuza duka, kama mnataka tuchapane vita bya wenyewe kwa wenyewe nyie wachaga jaribuni kusimamisha ujenzi wa hilo daraja, pambaf zenu
Magufuli alileta ukabila mbaya sana katika nchi hii. Nasema waziwazi kuwa kifo chake ni nusura kwa nchi. Hutaki unaacha!
 
Chadema hadi aibu, kama Trump vile kichwani.
 
Navyo vitajengwa wasiwasi wako nini?
 
Magufuli alileta ukabila mbaya sana katika nchi hii. Nasema waziwazi kuwa kifo chake ni nusura kwa nchi. Hutaki unaacha!
Ukabila upo tokea kitambo,hata huko Hispania Ulaya kuna ukabila. Kupendelea wa kwao kwa binadamu ni hulka. Believe me hata Mama Samia atapendelea Unguja,Nyerere Jeshini aliweka watu wa mkoa wa Mara. NYERERE yeye nia yake ilikuwa ni aongonze muda mrefu na asipingwe. Mimi Magufuli nitamlaumu kwa kuua demokrasia katika nchi ya vyama vingi. Na kuwa dictator. Ingawa u dictator ni katiba yetu inamfanya Rais awe hivyo.Jana nilimsikia Kikwete akisema yeye ndo aliyechagua yale majina 5 kati ya 38.Alipeleka kwenye kamati ili wayapitishe tu. Na walipoleta za kuleta,akatumia uenyekiti wake wa CCM. Ndo nikajua why watu walikuwa wanamuabudu Magufuli,kumbe Rais ana power kwenye nchi,kwenye chama chake pia. Ndo maana Mungu kamchukua maana watu walitaka kumfanya Mungu wao.
 
Mkiendelea na roho chafu hizi naiona Tanzania isiyo na chama like.pepo chafu kabisa ondokaaa.uliambiwa daraja linafaa hata Kwa East Africa
 
Kwa hiyo wale watu waendelee kufa maji kwa ajali za ziwani?

Acha ujinga wewe mpuuzi. Daraja linajengwa ili wapite viongozi au wananchi?

Jambo la mwisho SHIKA ADABU YAKO
 
Hii nchi ina vichaa wengi sana jitu linaamka asubuhi tu limeshiba miharage ya funza linataka project watu walikaa wakafanyaa study za maana kwa miezi kibao eti piga chini dah nyie ndo mnafanya nchi isiende mbele mnavuta hewa ya bure tu ambayo ilitakiwa ivutwe na watu wa hii nchi wenye faida....
 
Wasukuma m-mepanic
 
Kwakweli Hilo eneo ni sehemu ya Mazalia ya Samaki hasa Sato zile Ferry zilikuwa zikivujisha sana Diesel pale
 
Mtoa post ana matatizo ya akili. Tunaopajua pale unaweza kuwa kwenye foleni hadi masaa3 sababu kivuko huwa kinazidiwa. Na kuna magari ya mizigi mengi sana. Kukiwa na daraja hii feri ya mjini itakufa kifo cha mende
 
Mengi umesema sawa Victoire . Lakini kwa mwl umeongopa. Mwalimu alikuwa mzalendo na si mbinafsi kama uncle . Kosa la mwalimu ninayoiona ni kutumia rasilimali za nchi kwa ajili ya nchi zingine bila return .

Daraja la Busisi - Kigongo ni muhimu sana. Mleta hoja amedanganywa au haijui jiografia ya maziwa makuu .
 
Unataka afute hilo daraja kwakuwa hakuna pale waTanzania na wananchi wanaostahili kupata hilo daraja,acha roho mbaya na haitakusaidia
 
iyo 1.5 tr itakusaidia nini wewe? unabwabwaja tu unamwambia nani sasa? shwaini wewe
 
Na huko kwenye saccos yako ya Chadema mbona mna Mwenyekiti wa maisha? Jaribu kumpinga Faru John ili uone utakachokipata? Waulize wakina Zitto watakupa uhalisia wa Saccos yako!
 
Na huko kwenye saccos yako ya Chadema mbona mna Mwenyekiti wa maisha? Jaribu kumpinga Faru John ili uone utakachokipata? Waulize wakina Zitto watakupa uhalisia wa Saccos yako!
Udina masala,mashi gako. Kila anaempiga Mfu Magufuli ni Chadema ?Nasema tena kila binadamu ana ukabila. Pale wizara ya mwasiliano kipindi Mwandosya ndo waziri,walijaa wanyakyusa tupu.
 
Udina masala,mashi gako. Kila anaempiga Mfu Magufuli ni Chadema ?Nasema tena kila binadamu ana ukabila. Pale wizara ya mwasiliano kipindi Mwandosya ndo waziri,walijaa wanyakyusa tupu.
Utina masala ubebe! Kanyo kako!
 
Hivi kijana unafikiri kwa kutumia makalio nn!! Hilo daraja linaumuhimu mkubwa kiuchumi kuliko unavyodhani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…