Perhaps my death won't lead some people to celebrate. I am trying not to wrong anyone on Earth. So that after I perish, I wont leave grudges behind.the fact that everyone will die doesn't categorize death, its unfortunate that you see death from a human perspective because all you carry is hate and violence, i have to tell you that you will also die, your childrens will also and everyone else will, either from natural causes, diseases, wars you must die!
Mtoa mada hilo eneo umewah kupta?Kwa kutwa yanapita magar zaid ya 1000.Kwa usumbufu unaopatikana pale kwann pasijengwe daraja km serikal ina uwezo huo?Ni bora ungesema lile daraja liwe la kulipiwa km kigambon,kwa kwel ningekuelewa.Daraja la Kigogo Busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.
Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Kila taaaisi ya umma wakuu wake ni kanda ya ziwa. Mama chunguza.Daraja la Kigogo Busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.
Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.
Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Vipi hujawahi dai mtu pesa uliyomkopesha?Perhaps my death won't lead some people to celebrate. I am trying not to wrong anyone on Earth. So that after I perish, I wont leave grudges behind.
Kukamilika hatukai Bali kukamilika kwa kipindi kifupi Hilo ndilo linalopigwaUnapoteza muda wako bure! Daraja hilo lazima likamilike pia miradi yote iliyoanzishwa na Jemedari Magufuli lazima itakamilika kama ilivyopangwa!
Uridhi kwa mtoto ni elimu siyo vitu, acha kusomesha wanao wekeza kwenye vituWewe mpuuzi Busisi ni Tanzania usipovuka wewe mjukuu wako atavuka kwenda kuvua sato maana wewe babu yake ulikua mjinga hukumuachia urithi
Matokeo yake umeyaona?CHADEMA watu wabaya sana, nimejua kwanini hayati amewafutilia mbali..
Kati ya yote muhimu uliyoandika, ni hili hapa pekee ulilochanganya akili.Chato imezungukwa na Mara, Bukoba na Shinyanga, Kigoma, Tabora na Katavi hazipo mbali (Jumlisha na nchi za Rwanda na Burundi); achilia sababu alizotoa Magufuli za watu kupoteza maisha ambazo za muhimu
Mkuu unajua pesa inaingiaje mitaani? Kwa taarifa yako serikali ikipeleka pesa kwenye miradi ndiyo pesa inaingia mitaani.Kukamilika hatukai Bali kukamilika kwa kipindi kifupi Hilo ndilo linalopigwa
Maana mlijenga dhana kwamba aongezewe muda amalizie miradi yake.
Tunaka miradi muhimu iendelee bila kunyonya pesa zote mtaani na mifukoni mwa watanzania
Lingekuwa Kilimanjaro ndio lingekuwa na maana, sehemu nyingine kwa CHADEMA hazina umuhimu wa maendeleo.
Halina Tija kwa Taifa, limejengwa kwa utashi wa MTU binafsi.Kuna miradi mingi ambayo Mh.Rais wa JMT Madame President SSH na viongozi wenzake lazima waifanyie mapitio kama inafaa kweli kuendelea?Fikiria Chato Stadium, Airport, Referral Hospital,Kigongo Busisi Bridge,Salender Bridge etc.Kwahiyo halipunguzi muda unaopotezwa na kivuko, halirahisishi chochote.. Ama ndio mnataka kumfukia marehemu na mambo yake!?
Hoja ya hovyo sana hii na nafikiria una-uwewe sana aisee wewe nduguBora angekuwa anajenga Kigamboni Zanzibar Bridge litakuwa na Tija zaidi kulikoni hilo la kwenda ukweni.
Hawezi kukujibu sababu najua utamuuliza ya Chato Airport plus BurigiPia umo kwenye Ilani ya CCM!
Kama Chato International AirportLingekuwa Kilimanjaro ndio lingekuwa na maana, sehemu nyingine kwa CHADEMA hazina umuhimu wa maendeleo.
Uko tayari pesa yote iliyotumika mpaka sasa izikwe?Mradi umepitishwa na bunge!
Mkuu hiyo kanuni ni valid kama huna madaraka ya kufanya maamuzi kuhusu watu wengi otherwise baadhi watafanya sherehePerhaps my death won't lead some people to celebrate. I am trying not to wrong anyone on Earth. So that after I perish, I wont leave grudges behind.
Acha uongo wew,binadamu ulieumbwa na mungu usikosane na mtu yeyote duniani hapa...wew kama nani??? Are you an Angel???Perhaps my death won't lead some people to celebrate. I am trying not to wrong anyone on Earth. So that after I perish, I wont leave grudges behind.
ChademaKwa hiyo wanaopita pale ni wakwe wa Magufuli tu? Unajua ni watanzania wangapi watakao tumia daraja hilo?
Hii chuki inatoka wapi jamani?
Bhalamka.Nalimlola doho, nose wahaya kuzunya!!
Olo ni nale ntale ninabeta hagate!
Bageshage e Nyaumata ne Somanda