Rais Samia Suluhu piga chini daraja la Kigongo - Busisi haijalishi lilipofikia

Tatizo la vijana wa Bavicha,wanapenda sana kujifariji kwa matumaini hewa.Wanasahau kwamba chama kinachotawala ni ccm
Samia huyu ni yule yule wa bunge la katiba,hebu wekeni akili zenu sawa,msitegemee kupata mteremko au ahueni ya kisiasa,moto ni ule ule tu
 
Magufuli aliwahi kusema wazi kuwa anakazania huo mradi uishe kwani akija Rais mwingine anaweza asiendelee nao! Unajua kwanini alisema hivyo?

Halafu sibishani.
Wewe ni mbwa nyumbu
 
Umeandika pumba sana leo.
Kwani hakuna watanzania pale? We hujawahi kuvuka pale? Hutavuka pale?
Mbona mnakuwa na roho mbaya sana?
 

tunazungumzia muda wa kufanya.

halafu nigeria ina uchumi wa $ 450bln
egypt ina $360 bln
tz tuna $60bln.

huoni tatizo hapo!!!
 
Umetumia mhemuko kwenye kujenga hoja yako! Kama unafikri hilo daraja wanajengewa wakwe utakuwa punguani! Sidhani kama ulishawahi kupita hiyo njia na ukashuhudia adha wanayopata watumiaji wa barabara ya Mwanza-Bukoba! Watu wanapoteza muda sana wamsubiri kivuko! Mama ajikaze tu amalizie miradi iliyoanzishwa na asije na mradi mpya sasa hivi. Mradi wa kupiga chini ni ununuzi wa ndege full stop! Marehemu alikuwa mbishi tu na alikuwa na tamaa, hakupaswa kuwa na miradi 30 kwa kipindi cha miaka mitano tu!
 
Jipige chini mwenyewe... daraja lijajengwa na soon Chato itapewa hadhi ya Mkoa..END OF STORY
 
Muandika mada we ni bonge la falaaaaaaaaaa hoja yako haina mashiko... kama huna point SHUT UP PLEASE.
 
Watanzania Mungu anatupenda sana.
Jamaa lilishaanza kuharibu nchi.
Ila limekwenda
Uganda na Rwanda wanatutamami sanaaa
 
"Nikikuangalia kwa umakini mkubwa"???? We kama nan brah?? Unadhan una maamuzi yeyote yenye impact juu ya nn atafanya rais suluhu??
 
Hyo n miradi ya kimkakati ya JPM
Kamwe hauwezi kufutwa.
 
Si ajabu wala hajawahi kufika hata Mwanza, tunaotoka kanda ya Ziwa ndio tunajua umuhimu wa daraja la Busisi.
Watu wa mihemko hawa, wao ni kumpinga marehemu kwenye kila jambo, hawaangalii umuhimj wala faida zake, usishangae kesho akaja kusema mradi wa umeme ule usimamishwe una tatizo kadha, kadha wa kadha.
 
Hakuna mkamilifu, marehemu alikuwa na makosa yake, haijalishi yapi mengi kati ya mazuri yake na mabaya yake... Sisi tunapaswa kuchota yale mazuri pekee, mabaya yake kaishaenda nayo kaburini..

Sasa mtu kuja kupinga kitu kama daraja ni akili za kindondocha, wabongo tuna mihemko ya hali ya juu, tunapinga sababu tuko upande fulani, haijalishi tunaempinga yupo sahihi ama lah! [emoji849][emoji848]
 
Eti nikikuangalia kwa umakini mkubwa...
What a bwabwah...
 
Hivi ushafikiria gharama za kununua vivuko hivyo unavyosema na kuvitengeneza just hata kwa muda wa miaka 10 tu. Au ujenge daraja ambalo litatudumu 50 years to come.


Umasikini mbaya kuliko vyote ni umasikini wa Fikra!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…