Ndokeji
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 698
- 476
Mji wa Kisesa katika jiji la Mwanza ni Mji mkubwa unakua kwa kasi ambao kipindi cha Marehemu Magufuri aliahidi kuwa halmashauri ya Mji wa Mwanza ,wananchi wake wanalia kwa kutofungiwa umeme na shirika la Tanesco ,huku likionesha hilo shirika katika kituo chake cha Nyakato kuzidiwa nakuwa na huduma mbaya kabisa, ya wananchi kuishi gizani kila wanapotembelea shirika hilo wanaambia limezidiwa na hakuna wafanyakazi wakutosha na vitendea kazi havipo kama Magari
Pili Mji huo umekuwa kama watu wake wanaishi jangwani Maji hakuna wakati ziwa liko karibu, wape huduma wanawake wenzako wanatesaka sana ,unakutana na wanakimama saa 9 usikuwa wanapambana na ndoo kutafuta maji, Mh acha kutembelea nchi za watu tembelea matatizo ya watu na uyatatue na huo ndio uongozi
Waziri wa Nishati hili swala la umeme changamoto ya Nyakato anaifahamu lakini hakuna hatua yoyote
Waziri wa Maji ndio kabisa sijui kama anafanya kazi gani , wamekaa maofisini sana