Woga tupa kulee
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,752
- 1,311
Wafuasi wa Jiwe hamuamini macho yenu. Jiwe limeondoka na jalirudi tena. Na Sera za ubabe wa kupereka maabara kuu ya taifa kware, makondoo, mipapai na mimbuzi kama vipimo havipo tena.Hakika huyo anayemshauri Mh. Rais Samia Suluhu kwamba Tanzania kuna corona anampotosha!
Kwa nchi ilipofikia huko tumevuka na tumepita, mabeberu walituaminisha tutakufa na kuokota maiti barabarani lakini hii haikutokea
Wameenda mbali zaidi kututisha kwa second version ya corona ni tishio lakini Waswahili tunaendelea na maisha yetu kama kawaida.
Tanzania hii haina corona, rais tuwache tuendelee na maisha tuliyozoea kwani naziona dalili za kuzuia mikusanyiko na lockdown
💪💪💪Mama namkubali.
naona unakwepa mada kiaina. una evidence zozote zinazoonyesha kuwa hakuna covid tanzania? au mekuja ku spread fear ?mkuu kama huwezi kingereza andika kiswahili tu utaeleweka
aliekwambia kuwa kigwa ndio ata lead hiyo team ni nani?Wataalamu wenyewe si ndio akina Kigwa magangala? ambao leo wanashika microscope kesho wanashika tunguli?
speed ya maambukizi ni kubwa kuliko malaria.Hata malaria imetuchukulia ndugu wengi tu.
Kamati inaweza kuwa daraja tu lakini maamuzi tayari yapo?Ngoja tusubiri,time will tell.Rais Samia kuunda kamati kushughulikia COVID 19. Amesema ataunda kamati ya kushughulikia kitaalamu.
Amesema hatuwezi kujitenga kama kisiwa, lazima tuunde kamati ijulikane kama tunakubali au tunakaa na si kusikia habari tu za nchi nyingine na ikifika kwa Tanzania hamna kitu.
Rais Samia amesema haya
''Tutaunda Kamati ya Wataalamu kuhusu Covid 19 watuambie kitaalamu hayo yanayopendekezwa na Ulimwengu kuja kwetu yapoje, hatuwezi kujitenga tu kama Kisiwa na hatuwezi kupokea yanayoletwa bila kuweka cha kwetu, bila kufanya utafiti wa kwetu.
Rais Kikwete alituambia akili za kuambiwa changanya na zako, tuweke na zetu tuwe na msimamo maalum unaoeleweka, sio tunasoma tu mambo ya Covid 19 Ulimwenguni, Tanzania deshi deshi deshi haieleweki, tueleweke kama tunakubali au tunakataa
Suala la Covid 19 nafikikiria niunde Kamati ya Wataalamu waliangalie kwa upana wake kitaalamu halafu watushauri Serikali, halifai kulinyamazia aidha kulikataa au kulikubali bila kufanya Tafiti za kitaalamu''
Anafanya mazoezi na wakili msomiYule Mama mpaka aunde sijui timu halafu timu ikae chini itunge siasa, Corona itakuwa imeshapita nae!
🤣🤣🤣🙌Anafanya mazoezi na wakili msomi
Huyo wakili msomi sasa ukimuona ni kama robot anasubiri rimoti ibonyezwe😂😂🤣🤣🤣🙌
Nakuhakikishia kuwa baada ya muda mfupi sana ataanza kuikana nyungu!😁Huyo wakili msomi sasa ukimuona ni kama robot anasubiri rimoti ibonyezwe😂😂
Sasa hivi hata ccm wanamkana mwendazake na matendo yake yote, kila mtu amekuja na mbinu mpya ya kuonyesha umma kwamba walikua wanashangazwa na matendo ya mwenda zake soon polepole ataitisha press conference kuiomba msamaha coronaNakuhakikishia kuwa baada ya muda mfupi sana ataanza kuikana nyungu!😁
Leo nimethibitisha kwa rasilimali CCM walizo nazo wana uwezo wa kushikilia dola miaka mingine 100 ijayo.
Hongera sana rais wetu Samia Suluhu Hassan🔥🔥🔥🔥 Unaweza sana mama.
Siyo fitina mkuu. Corona ipo nailifika ikulu. Balozi Kijazi alikufa corona na ilitangazwa kabisa.Hivi Tanzania haikuwa na ushauri wa kitaalamu na JPM marehemu maamuzi ya corona na hatua alizochukua hakuzingatia ushauri wa wataalamu?
Fitina za aina hii kwa marehemu na utafutaji uungwaji mkono kwa njia hii hazitamsaidia mtu.
Je, anataka Watanzania wa amini suala la corona halikuchukuliwa kwa uzito? Ama ndio njia ya mzunguko kwenda kukubaliana na chanjo za WHO na wajasiriakorona.
Tena chaka kubwa sana. Ni kama hadithi ya yule mfalme aliyekuwa uchi hakuna mtu aliweza kumwambia mpaka mtoto mdogo ndiye alisema mfalme yuko uchi!Mwendazake huko aliko kama anayaona haya au kuyasikia haya atakuwa anasema hiiiiii!
Ila mwendazake alituingiza chaka wandugu.
Hiiiiii!
Mama amegundua kuwa ni lazima science iheshimiwe, aachane na upuuzi.Change of tongue is what matters the most. Mmeshindwa kusaidia Mama asubuhi na mapema.