Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
msimamo wa serikali ni kutokutangaza kifo chochote kinachohusiana na covid.Mbona hatusikii hata mtaani achilia mbali huko kutangazwa!! Yaani corona unaweza kuficha kishindo chale kweli mpaka iyo kamati ndo ije itupige sound?
Hawataki kufuata maelekezo ya WHO kuhusu kupima kutoa data kujikinga na maambukizi ya covid-19 kama kuvaa barakoa social distancing na sanitizer. Kazi ya kamati itakuwa kuendeleza msimamo huo.Toka mwendazake atutoke hatujasikia vifo vya corona wala vinavyotokana na changamoto ya kupumua, je kwa nini sasa mnataka kuunda kamati na kwa maslahi ya nani?
Mbona umesahau na chanjo mkuu?Hawataki kufuata maelekezo ya WHO kuhusu kupima kutoa data kujikinga na maambukizi ya covid-19 kama kuvaa barakoa social distancing na sanitizer. Kazi ya kamati itakuwa kuendeleza msimamo huo.
Hao waliokufa ofisini walizikwa huko huko ofisini? Mtaani hawakuletwa?msimamo wa serikali ni kutokutangaza kifo chochote kinachohusiana na covid.
hatusikii mtaani? nani atatangaza sasa?
ofisin tumepoteza watu watano ndani ya muda mfupi. wawili wakiwa wakuu wa idara.
na ni confirmed case.
jist because husikii mtaani kwako. haimaanish kwingine hakutokei.
Haya mambo yanatatiza unaweza kuambiwa mtu kafa kwa corona ila watu waliyokuwa wanamuuguza wote unakuta wapo safi kwa maana hakuna aliyeambukizwa.Hao waliokufa ofisini walizikwa huko huko ofisini? Mtaani hawakuletwa?
Tatizo hata ukiambiwa mtu kafa kwa corona ila bado mazishi yake yanakuwa ya kawaida kama waliyokufa kwa magonjwa mengine ya kawaida.Toka nizunguke Mwanza na Arusha kufanya research sija sikia wala kuona msiba wa corona..
hujanielewa. haijalish walifia wapi. walipozikwa familia ilielezwa tatizo la marehem. sito disclose ni mtaa gani, kijiji, kata au mkoa.Hao waliokufa ofisini walizikwa huko huko ofisini? Mtaani hawakuletwa?
sasa kama mtu kafa anashida gani. ? ili mradi usiuguse mwili wa marehem. simple as that.Tatizo hata ukiambiwa mtu kafa kwa corona ila bado mazishi yake yanakuwa ya kawaida kama waliyokufa kwa magonjwa mengine ya kawaida.
Usiombe ipite kwenye familia! Tuliozika ndo tunajua uchungu wakeMbona hatusikii hata mtaani achilia mbali huko kutangazwa!! Yaani corona unaweza kuficha kishindo chale kweli mpaka iyo kamati ndo ije itupige sound?
Nimemjibu kwa nini haoni misiba ya corona kwa sababu mwanzoni mazishi ya mtu aliyekufa kwa corona ilikuwa inajulikana,hivyo ndio maana jamaa sasa hivi haoni hayo mazishi ya namna hiyo anaona mazishi yote sawa tu.sasa kama mtu kafa anashida gani. ? ili mradi usiuguse mwili wa marehem. simple as that.
sion jipya hapo
Facts about Covid-19:Toka mwendazake atutoke hatujasikia vifo vya corona wala vinavyotokana na changamoto ya kupumua, je kwa nini sasa mnataka kuunda kamati na kwa maslahi ya nani?
Kuna familia haijawahi kufiwa bana wewe kifo cha aina yoyote? Kifo ni kifo tu havizidiani, na after all kufa huwa lazima. Acheni siasaUsiombe ipite kwenye familia! Tuliozika ndo tunajua uchungu wake
Good clarification [emoji122]Facts about Covid-19:
Recovery cases/wanaopona za wagonjwa wa Covid-19 ni zaidi ya 90% ya cases zote.
Severe cases za wagonjwa wa Covid-19 zinazoweza sababisha vifo ni less than 10 %
Kwa takwimu hizo, kwenye nchi kama Kenya, ajali za barabarani na Cholora au Malaria vinaua watu wengi kwa mwaka kuliko Covid-19.
Hakuna chanjo inayoweza kutibu variants zote za Covid-19 na mpaka sasa ziko zaidi ya variants 10.
Hii ndio sababu mganga mkuu wa Serikali ya Uongereza amesema wataanza kuchukulia Covid-19 kama magonjwa mengine ya mafua, because it is here to stay with us for a very long time.
Facts about Covid-19:
Recovery cases/wanaopona za wagonjwa wa Covid-19 ni zaidi ya 90% ya cases zote.
Severe cases za wagonjwa wa Covid-19 zinazoweza sababisha vifo ni less than 10 %
Kwa takwimu hizo, kwenye nchi kama Kenya, ajali za barabarani na Cholora au Malaria vinaua watu wengi kwa mwaka kuliko Covid-19.
Hakuna chanjo inayoweza kutibu variants zote za Covid-19 na mpaka sasa ziko zaidi ya variants 10.
Hii ndio sababu mganga mkuu wa Serikali ya Uongereza amesema wataanza kuchukulia Covid-19 kama magonjwa mengine ya mafua, because it is here to stay with us for a very long time.
Duh. KumbeLengo ni kurudisha mahusiano mazuri na wazungu hivyo tutalazimika kufuata yale wanayotaka tufanye kuhusiana na corona hasa kuagiza chanjo za corona,kwahiyo hayo ndio masilahi na ndio ikabidi atolewe pale Kabudi.
😆😆😆magufuli ametuachia MUNGU.
haha yah. nimekusomaNimemjibu kwa nini haoni misiba ya corona kwa sababu mwanzoni mazishi ya mtu aliyekufa kwa corona ilikuwa inajulikana,hivyo ndio maana jamaa sasa hivi haoni hayo mazishi ya namna hiyo anaona mazishi yote sawa tu.
[emoji38][emoji38][emoji38]
Wewe timu chato najua mmepoteza sana ni wakati wenu kukaa benchi la upinzani. Mlitesa watu sana laana yenu imeanza.SSH anakurupuka ili kuwafurahisha wazungu, she’s so desperate kupata recognition ya wazungu badala ya watz wenzie.