KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Kuna settings allowance! ?unataka watangaze ili iweje? kwasababu hajasikia haimaanish watu hawafi.
kamati itakayoundwa ni ku asses impact ya corona nchini ktk nyanja zote. then watatoa suggestion nn kifanyike
Toka mwendazake atutoke hatujasikia vifo vya corona wala vinavyotokana na changamoto ya kupumua,
je, kwanini sasa mnataka kuunda kamati na kwa maslahi ya nani?
Hiyo kamati ndio itakayotuambia kama watu hawafi tena, sio wewe.Toka mwendazake atutoke hatujasikia vifo vya corona wala vinavyotokana na changamoto ya kupumua,
je, kwanini sasa mnataka kuunda kamati na kwa maslahi ya nani?
SSH anakurupuka ili kuwafurahisha wazungu, she’s so desperate kupata recognition ya wazungu badala ya watz wenzie.
magufuli ametuachia MUNGU.
Corona ipo, na itaendelea kuwepo!!kamati lazima iundwe ili tupate uelekeo maalum, sio mambo yale ya kupinga sayansi, na hao waliokuwa wanamjaza upepo meko wameshamkimbia!!!chanjo lazima itumike kwa yule atakayehitaji.Toka mwendazake atutoke hatujasikia vifo vya corona wala vinavyotokana na changamoto ya kupumua,
je, kwanini sasa mnataka kuunda kamati na kwa maslahi ya nani?
Kwani utavisikia wapi wakati hatutangaziwi? Akifa mwenye Korona atazikwa kawaida tu.Toka mwendazake atutoke hatujasikia vifo vya corona wala vinavyotokana na changamoto ya kupumua,
je, kwanini sasa mnataka kuunda kamati na kwa maslahi ya nani?
Toka nizunguke Mwanza na Arusha kufanya research sija sikia wala kuona msiba wa corona..
Lakini wataichukulia hivyo baada ya watu wao kuwa wamepata hizo chanjo, mbona hilo hujalisema?!!Facts about Covid-19:
Recovery cases/wanaopona za wagonjwa wa Covid-19 ni zaidi ya 90% ya cases zote.
Severe cases za wagonjwa wa Covid-19 zinazoweza sababisha vifo ni less than 10 %
Kwa takwimu hizo, kwenye nchi kama Kenya, ajali za barabarani na Cholora au Malaria vinaua watu wengi kwa mwaka kuliko Covid-19.
Hakuna chanjo inayoweza kutibu variants zote za Covid-19 na mpaka sasa ziko zaidi ya variants 10.
Hii ndio sababu mganga mkuu wa Serikali ya Uongereza amesema wataanza kuchukulia Covid-19 kama magonjwa mengine ya mafua, because it is here to stay with us for a very long time.
Unamwuliza nani hilo swali?Toka mwendazake atutoke hatujasikia vifo vya corona wala vinavyotokana na changamoto ya kupumua,
je, kwanini sasa mnataka kuunda kamati na kwa maslahi ya nani?
Toka mwendazake atutoke hatujasikia vifo vya corona wala vinavyotokana na changamoto ya kupumua,
je, kwanini sasa mnataka kuunda kamati na kwa maslahi ya nani?
Lakini wataichukulia hivyo baada ya watu wao kuwa wamepata hizo chanjo, mbona hilo hujalisema?!!
Kwahiyo kujua wanaokufa kwa corona haihtaji hadi kamati iseme maana hata Magufuli inasemwa kafa kwa corona ila kusema hawafi kwa corona ndio hadi kusubiri kamati ije kusema?Hiyo kamati ndio itakayotuambia kama watu hawafi tena, sio wewe.
MATAGA mnafeli wapi? Ghafla Mama Samia kawa adui yenu? Mtapata shida sana ninyi maamuma.SSH anakurupuka ili kuwafurahisha wazungu, she’s so desperate kupata recognition ya wazungu badala ya watz wenzie.
Waziri wa mambo ya nje(mpya) wakat anaapa bungeni alivaa barakoa ila alipoenda Ikulu kuapa hakuvaa barakoa,sasa sijaelewa kwamba hadi sasa bado kuna uoga wa kuvaa barakoa au ndio hadi kamati ije kushauri kuvaa barakoa?Corona ipo, na itaendelea kuwepo!!kamati lazima iundwe ili tupate uelekeo maalum, sio mambo yale ya kupinga sayansi, na hao waliokuwa wanamjaza upepo meko wameshamkimbia!!!chanjo lazima itumike kwa yule atakayehitaji.
Kusema hata kwenye vijiwe vya kahawa si tunasema tu. Kamati itakuwa rasmi na taarifa zao zitatoka kwa wataalamu hivyo pia zitakuwa rasmi..Sisi wa kahawa tungekaa pembeni tu.Kwahiyo kujua wanaokufa kwa corona haihtaji hadi kamati iseme maana hata Magufuli inasemwa kafa kwa corona ila kusema hawafi kwa corona ndio hadi kusubiri kamati ije kusema?
watu konachowaua kwenye nchi za jirani especially waliokua na magonjwa nyemelezi ni psychological shock na hofu bora life style lao lingeendelea kama kawaida sisi takwimu hatuzitaki zitazuua taharuki bora tuendelee na maisha yetu kama tulivyozoeaunataka watangaze ili iweje? kwasababu hajasikia haimaanish watu hawafi.
kamati itakayoundwa ni ku asses impact ya corona nchini ktk nyanja zote. then watatoa suggestion nn kifanyike
Hapa nipo muhimbili na sina barakoa wakati zamani ilikuwa hata getini huingii bila barakoa, je ndio kwa sababu corona imepungua kwahiyo hivyo barakoa sio muhimu sana hata huku hospitali?Kwani utavisikia wapi wakati hatutangaziwi? Akifa mwenye Korona atazikwa kawaida tu.
Kwa sasa Corona ipo sema imepungua. Ukitaka kujua ukweli ukimpata mtumishi wa hospital kama za DSM -Hindumandal, Aghakan, Amana, Temeke, Mwananyamala, Rabinsia, Bochi n.k utajua hali ilivyo.
Tuendelee kuchukua tahadhari kwa kuzingatiaa masharti ya kujikinga na Corona.
Tuna zaidi ya siku 20 hatujapata taarifa ya kifo kilichotokana na changamoto ya covid. Hii maana yake Nini?Toka mwendazake atutoke hatujasikia vifo vya corona wala vinavyotokana na changamoto ya kupumua,
je, kwanini sasa mnataka kuunda kamati na kwa maslahi ya nani?
acha ujinga hakuna aliezuia kuvaa barakoa,serkali ilitoa muongozo kweny nyumba za ibada na maeneo mengine kusiwe na misongamano ulikua huez kupata huduma yoyote ya kijamii bila barako usijiaahaulishe kwa unafiki wako hatua zote zilifatwa ila msimamo wa magufuli ni kwamba tanzania na watanzania hawataeza kujifungia ndani kwa kuogopa mafua ya corono...Hawataki kufuata maelekezo ya WHO kuhusu kupima kutoa data kujikinga na maambukizi ya covid-19 kama kuvaa barakoa social distancing na sanitizer. Kazi ya kamati itakuwa kuendeleza msimamo huo.