Arusha ipi unayoiongelea wewe.....hakuna sehemu corona imetuchapa kama arusha. Watu wamepoteza wazazi , ndugu ,jamaa na marafiki alafu unakuja kuleta utani ? Msicheze na maisha ya watu . Tena tunasubiria kwa hamu chanjo ije tuchomwe . Kama wewe hutaki kaa mbali usichomwe hutalazimishwa . Kila mtu awe huru kufanya anachoona ni sawa kwake. Tusipangiane kabisa .Toka nizunguke Mwanza na Arusha kufanya research sija sikia wala kuona msiba wa corona..
Aisee kumbe!Lengo ni kurudisha mahusiano mazuri na wazungu hivyo tutalazimika kufuata yale wanayotaka tufanye kuhusiana na corona hasa kuagiza chanjo za corona,kwahiyo hayo ndio masilahi na ndio ikabidi atolewe pale Kabudi.
ww ndio hutaki takwimu. ila serikali inazo. na itazitumia kwenye masuala yake.watu konachowaua kwenye nchi za jirani especially waliokua na magonjwa nyemelezi ni psychological shock na hofu bora life style lao lingeendelea kama kawaida sisi takwimu hatuzitaki zitazuua taharuki bora tuendelee na maisha yetu kama tulivyozoea
Yaani wao ni kuokoteleza habari nusu nusu tu, kwa kuchukua kile wanachokipenda kuwalisha mataga wenzao!!Akilisema hilo hata wale mbumbumbu wa kwetu chattle wataelewa kuwa wanaingizwa chaka kwa nguvu!
Chanjo haitibu bali ni kuzuia au kupunguza makali ya ugonjwa mtu akiugua .Facts about Covid-19:
Recovery cases/wanaopona za wagonjwa wa Covid-19 ni zaidi ya 90% ya cases zote.
Severe cases za wagonjwa wa Covid-19 zinazoweza sababisha vifo ni less than 10 %
Kwa takwimu hizo, kwenye nchi kama Kenya, ajali za barabarani na Cholora au Malaria vinaua watu wengi kwa mwaka kuliko Covid-19.
Hakuna chanjo inayoweza kutibu variants zote za Covid-19 na mpaka sasa ziko zaidi ya variants 10.
Hii ndio sababu mganga mkuu wa Serikali ya Uongereza amesema wataanza kuchukulia Covid-19 kama magonjwa mengine ya mafua, because it is here to stay with us for a very long time.
Mungu alikuwapo kabla hajazaliwa,mpaka ameenda bado yupo. is not if yeye ndio kamleta Mungu tz.magufuli ametuachia MUNGU.
Yaani wao ni kuokoteleza habari nusu nusu tu, kwa kuchukua kile wanachokipenda kuwalisha mataga wenzao!!
Ongelea nafsi yako itakuwa vyema zaidi sio mambo ya “sisi”.watu konachowaua kwenye nchi za jirani especially waliokua na magonjwa nyemelezi ni psychological shock na hofu bora life style lao lingeendelea kama kawaida sisi takwimu hatuzitaki zitazuua taharuki bora tuendelee na maisha yetu kama tulivyozoea
Wanapuuzia tu. Tz suala la Corona siyo kipaumbele. Wewe jali maisha yako na uamuzi wa kuvaa barakoa ni wako. Corona ipo na tujifunze kuishi nayo kwa tahadhari.Hapa nipo muhimbili na sina barakoa wakati zamani ilikuwa hata getini huingii bila barakoa, je ndio kwa sababu corona imepungua kwahiyo hivyo barakoa sio muhimu sana hata huku hospitali?
Mungu alikuwapo kabla hajazaliwa,mpaka ameenda bado yupo. is not if yeye ndio kamleta Mungu tz.
Je: nyungu, covido, bupeji, NIMRICAF, na ile ya Madagascar kaondoka nazo?
Corona ishamaliza kazi....ishaondoka na mtu wake!!Toka mwendazake atutoke hatujasikia vifo vya corona wala vinavyotokana na changamoto ya kupumua,
je, kwanini sasa mnataka kuunda kamati na kwa maslahi ya nani?
wew mwananchi takwimu za vifo kwa wakati wa taharuki ni za kazi gani? fear inaua mkuu especially kwa watu wenye pressure na magonjwa ya moyo..ambapo ndo tunaamini walikua hatarini wakiwa infected na corona virus.. cha muhimu kama ilivofanyika ni kuchukua tahadhari na ugonjwa mambo mengine siyo ya lazima kweny maswala ya uhai siasa sio kitu kizurww ndio hutaki takwimu. ila serikali inazo. na itazitumia kwenye masuala yake.
pili hofu ni small part, it doesnt contribute to the millions death. nope.
learn the different between fear and danger. fear is not real , danger is very real.
nimetumia sisi kwa sababu ya majority rule..Ongelea nafsi yako itakuwa vyema zaidi sio mambo ya “sisi”.
Mkuu, ninapendaga sana "logics" zakomsimamo wa serikali ni kutokutangaza kifo chochote kinachohusiana na covid.
hatusikii mtaani? nani atatangaza sasa?
ofisin tumepoteza watu watano ndani ya muda mfupi. wawili wakiwa wakuu wa idara.
na ni confirmed case.
jist because husikii mtaani kwako. haimaanish kwingine hakutokei.
Mkuu wewe ni Mwongo kusema kakurupuka. Ulitaka afanyeje kwenye hali aliyoikuta?SSH anakurupuka ili kuwafurahisha wazungu, she’s so desperate kupata recognition ya wazungu badala ya watz wenzie.
Kamati ikisema maoni yao muwekwe lockdown mtakataa au mtasema wazungu wameacha kuweka watu huko?Wtf... !!
Kakurupuka wapi!?
Unaweza kuthibitisha hilo,au umeguswa na mabadiliko kwa muda huu,mfupi.SSH anakurupuka ili kuwafurahisha wazungu, she’s so desperate kupata recognition ya wazungu badala ya watz wenzie.
Jamaa ni mjinga sana kaamua kutupiga sound tu. Sijui ofc yake iko kisiwa gani.Hao waliokufa ofisini walizikwa huko huko ofisini? Mtaani hawakuletwa?