Rais Samia Suluhu umeanza kuwa Dikteta mapema kuliko hayati John Pombe Magufuli

..kwani Rais Biden ndio amekataza mikutano ya kisiasa?
Hakuna mikutano ya kisiasa dunianzimaa baada ya uchaguziii. Yaaanii mnalazimisha tena hapa Tanzania tuanze kushuhudia mikutano ya kutukanana, vijembe, na maaandamano ya kubugudhi wafanya biasharaa. Hatutaki
 
Kauli yako ya hakuna anayemkumbuka magufuli kwa kuleta maendeleo sio kweli.mi nitamkumbuka magufuli kuliko marais wote.sio kwa mabaya yake bali kwa mazuri.
 
Hakuna mikutano ya kisiasa dunianzimaa baada ya uchaguziii. Yaaanii mnalazimisha tena hapa Tanzania tuanze kushuhudia mikutano ya kutukanana, vijembe, na maaandamano ya kubugudhi wafanya biasharaa. Hatutaki

..Dunia nzima?

..mikutano imezuiliwa ktk nchi zinazotawaliwa KIDIKTETA.

..kihistoria ccm ndio chama kilichobugudhi wanasiasa kuliko vyama vyote Tz.

..fuatilia kuanzia wakati wa siasa za ujamaa, kampeni ya wahujumu uchumi, na hivi karibuni kashfa ya TASK FORCE na kesi za kubambika.

..hakuna chama kimebugudhi, kuhujumu, na kufukuza wafanyabiashara nchini, kuzidi ccm.
 
Alichukifanya Rias ni kuendele uvunjifu wa katiba ni mbaya sana. Mwendazake na Rais Samia wote sawa. Na hii ni dalili ya tuendako. The same old wine in a different bottle.
 
Dunia IPI wewe mwanaufipa??
 
Hujui ulichokiandika
 
Siku si nyingi tutaanza tena maombi yetu,sisi manabii.
Ww acha kutisha watu nyinyi mnaiahi kwampalange maombiyenu hayajibiwi [emoji2][emoji1][emoji3][emoji1][emoji2][emoji3][emoji2][emoji1][emoji2][emoji3][emoji2][emoji3][emoji2][emoji1][emoji1][emoji2][emoji1][emoji1][emoji2]
 
Achague ubabe au maridhiano... Asijiweke kati atapata tabu sana. Akae na wapinzani wajipange kwa katiba mpya na Uhuru wa kisiasa hataki basi abebe maubabe ya mwenda
 
Hujafuatilia siasa za Marekani, siasa siyo lazima barabarani
 
Ukianzisha chama kipya sasa hivi!!
 
Mshana my brother
Hivi uhuru ni lazima kuwe na maandamano?

Au uhuru ni kulazimisha rais afanye yale ambayo vyama vya siasa yanataka ?
Hapana kwa maswali yote mawili, uhuru unaozungumzwa ni ule wa kumuonyesha mama kuwa hapa umependeza au hapa nywele hazijakaa sawa- rekebisha. vyama vya upinzani ni kioo kinachoongea, usikiogope eti kwa kuwa kitasema hapa hapako sawa
 
Mmeshaanza kulalamika...hivi sisi miafrika bila ya udikteta utatuongozaje!???..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…