wasiosoma utawajua kirahisi sana wanakuwaga na chuki hao!!! Heee!!Bado tunasafari ndefu kama nchi.
Yaani mtu kuzungumza Kingereza kizuri nalo ni swala la kujisifia?
Hebu kuwa na heshima kijana, tafuta cv yake.....Sasa Samia kazi yake ilikuw kupanga majalada ya Ofisi ,asijue kiingereza
Tafadhali bwana siyo thesis zote duniani zinaandikwa kwa kiingereza, na wala siyo presentations zote kwenye mikutano ya kimataifa zinafanywa kwa kiingereza.
Tafadhali tafadhali tafadhali .......... Wacuba ni katika taifa ambalo lina madaktari wazuri sana na wa kuaminika duniani lakini asilimia kubwa hawajui kiingereza, wao ni kispanish kwa kwenda mbele.
Magu(rip) aliulizwa swali na mwandishi wa habari asielewe alichoulizwa. Mu7 akamuelewesha kwa Kiingereza cha chekechea. Haikusaidia sana. Na ukichanganja na kiburi na jeuri yake badala ya kujibu akamuuliza' You corrupt? Kilikuwa kituko!Lazima asifiwe maana magufuli alipoenda uganda alituaibisha.
Hebu kuwa na heshima kijana, tafuta cv yake.....
Na hata kama alikuwa anapanga majalada ya ofisi, kwani kuna ubaya gani alimradi alikuwa anapata mshahara wake wa halali.
Usiulizie kenge wako wapi. Wewe ni kenge wahedi. Tanzania hadi thesis ya kupata shahada katika Kiswahili ni katika Kiingereza. Ukilaza utakuua. Mtanzania akisomea Cuba anaandika dissertation katika Kispanyola. Kama yukoRussia katika Kirusi. Wewe, tunaongelea vyuo vya Tanzania! Jambo dogo kama hili washindwa kuelewa hayooo ndio kweli wewe! uelewe? Shiiiida!Tafadhali bwana siyo thesis zote duniani zinaandikwa kwa kiingereza, na wala siyo presentations zote kwenye mikutano ya kimataifa zinafanywa kwa kiingereza.
Tafadhali tafadhali tafadhali .......... Wacuba ni katika taifa ambalo lina madaktari wazuri sana na wa kuaminika duniani lakini asilimia kubwa hawajui kiingereza, wao ni kispanish kwa kwenda mbele.
Kama mimi ni kenge wahed wewe ni kenge theneen. Tunaongelea uwezo wa kuongea kiingereza na umuhimu wake sasa hebu jaribu kufikiri na kutoa arguments zako nje ya box!!! Ndiyo maana munashindwa kwa vile hamujiongezi kwenye mijadala.......Usiulizie kenge wako wapi. Wewe ni kenge wahedi. Tanzania hadi thesis ya kupata shahada katika Kiswahili ni katika Kiingereza. Ukilaza utakuua. Mtanzania akisomea Cuba anaandika dissertation katika Kispanyola. Kama Yuki Russia katika Kirusi. Wewe tunaongelea vyuo vya Tanzania. Jambo dogo kama hili washindwa kuelewa hayooo ndio kweli wewe uelewe? Shiiiida!
Sema wewe unashobo kama mademu wq mbagalaNadhani aliandikiwa akawa anasoma kitu ambacho hata Mtu wa kawaida anaweza ngoja waje wageni kutoka Magharibi tumuone
Sasa unataka kusema niniSema wewe unashobo kama mademu wq mbagala
Wabroya nimeipenda bure hii argument yako.warusi, wachina, waarabu wenye PhD hawajui kabisa kiingereza
hao wanaojua viingereza vya kubabia babia ni wataalamu...wa fani zao
au unachotaka kusema ni kuwa ukienda england leo ambao ni lugha yao.....kila mtu ana PhD?
Ametoa hotuba nzuri ya dakika nane alopokuwa Uganda.
Anaongea fluently and she is apparently mentally tranquil.
Sasa ndugu hapo kilichokukasirisha ni nini.Sema wewe unashobo kama mademu wq mbagala
Ushauri kwangu tena wa muda mrefu: don't argue with a fool. Ndio muda muafaka kuuchukua. Hakika sitakabiliana na kenge mpumbavu. Siko tayari. Umeshinda! Ndiyo maana munashindwa ......! Kweli?Kama mimi ni kenge wahed wewe ni kenge theneen. Tunaongelea uwezo wa kuongea kiingereza na umuhimu wake sasa hebu jaribu kufikiri na kutoa arguments zako nje ya box!!! Ndiyo maana munashindwa kwa vile hamujiongezi kwenye mijadala.......
Kazungumza au kasoma hotuba?