Rais Samia Suluhu, Waganda wamekupigia 'Salute' kwa Kiingereza chako kizuri japo huna PhD yoyote

Rais Samia Suluhu, Waganda wamekupigia 'Salute' kwa Kiingereza chako kizuri japo huna PhD yoyote

Bado tunasafari ndefu kama nchi.

Yaani mtu kuzungumza Kingereza kizuri nalo ni swala la kujisifia?
wasiosoma utawajua kirahisi sana wanakuwaga na chuki hao!!! Heee!!

Na bado tutaongea english nzuri mpaka mfe!!! Kwa vinyongo vyenu!!! Hata humu itakuws english tupu.km mie muongo tafsiri hayo maneno yako kwa kiingereza.

Bora mama ali keep low profile wkt wa jiwe!! Angejua kuwa anaongea fluently jiwe linge muundia majungu.

Stupid nonsensical.....
 
Tafadhali bwana siyo thesis zote duniani zinaandikwa kwa kiingereza, na wala siyo presentations zote kwenye mikutano ya kimataifa zinafanywa kwa kiingereza.

Tafadhali tafadhali tafadhali .......... Wacuba ni katika taifa ambalo lina madaktari wazuri sana na wa kuaminika duniani lakini asilimia kubwa hawajui kiingereza, wao ni kispanish kwa kwenda mbele.

Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
 
Lazima asifiwe maana magufuli alipoenda uganda alituaibisha.
Magu(rip) aliulizwa swali na mwandishi wa habari asielewe alichoulizwa. Mu7 akamuelewesha kwa Kiingereza cha chekechea. Haikusaidia sana. Na ukichanganja na kiburi na jeuri yake badala ya kujibu akamuuliza' You corrupt? Kilikuwa kituko!
 
Mkuu wa mkoa yuko waaapi, mkurugenzi yuko wapi, hebu njoo hapa utueleze pesa za wananchi mmezitumia kivipi, na usinidanganye ninajua mmengi
 
Hebu kuwa na heshima kijana, tafuta cv yake.....

Na hata kama alikuwa anapanga majalada ya ofisi, kwani kuna ubaya gani alimradi alikuwa anapata mshahara wake wa halali.

Muulize Lawyer huwa anapanga Files?
 
Tafadhali bwana siyo thesis zote duniani zinaandikwa kwa kiingereza, na wala siyo presentations zote kwenye mikutano ya kimataifa zinafanywa kwa kiingereza.

Tafadhali tafadhali tafadhali .......... Wacuba ni katika taifa ambalo lina madaktari wazuri sana na wa kuaminika duniani lakini asilimia kubwa hawajui kiingereza, wao ni kispanish kwa kwenda mbele.
Usiulizie kenge wako wapi. Wewe ni kenge wahedi. Tanzania hadi thesis ya kupata shahada katika Kiswahili ni katika Kiingereza. Ukilaza utakuua. Mtanzania akisomea Cuba anaandika dissertation katika Kispanyola. Kama yukoRussia katika Kirusi. Wewe, tunaongelea vyuo vya Tanzania! Jambo dogo kama hili washindwa kuelewa hayooo ndio kweli wewe! uelewe? Shiiiida!
 
Usiulizie kenge wako wapi. Wewe ni kenge wahedi. Tanzania hadi thesis ya kupata shahada katika Kiswahili ni katika Kiingereza. Ukilaza utakuua. Mtanzania akisomea Cuba anaandika dissertation katika Kispanyola. Kama Yuki Russia katika Kirusi. Wewe tunaongelea vyuo vya Tanzania. Jambo dogo kama hili washindwa kuelewa hayooo ndio kweli wewe uelewe? Shiiiida!
Kama mimi ni kenge wahed wewe ni kenge theneen. Tunaongelea uwezo wa kuongea kiingereza na umuhimu wake sasa hebu jaribu kufikiri na kutoa arguments zako nje ya box!!! Ndiyo maana munashindwa kwa vile hamujiongezi kwenye mijadala.......
 
warusi, wachina, waarabu wenye PhD hawajui kabisa kiingereza


hao wanaojua viingereza vya kubabia babia ni wataalamu...wa fani zao

au unachotaka kusema ni kuwa ukienda england leo ambao ni lugha yao.....kila mtu ana PhD?
Wabroya nimeipenda bure hii argument yako.
 
Kama mimi ni kenge wahed wewe ni kenge theneen. Tunaongelea uwezo wa kuongea kiingereza na umuhimu wake sasa hebu jaribu kufikiri na kutoa arguments zako nje ya box!!! Ndiyo maana munashindwa kwa vile hamujiongezi kwenye mijadala.......
Ushauri kwangu tena wa muda mrefu: don't argue with a fool. Ndio muda muafaka kuuchukua. Hakika sitakabiliana na kenge mpumbavu. Siko tayari. Umeshinda! Ndiyo maana munashindwa ......! Kweli?
 
Back
Top Bottom