bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,794
- 7,551
Ha haa? don't argue with a fool..... and that is a reality!!!!Ushauri kwangu tena wa muda mrefu: don't argue with a fool. Ndio muda muafaka kuuchukua. Hakika sitakabiliana na kenge mpumbavu. Siko tayari. Umeshinda! Ndiyo maana munashindwa ......! Kweli?
Wabroya nimeipenda bure hii argument yako.
Umeishiwa na arguments unakuja kwenye matusi? What a pity!!!!!Unapanga lini Kummanulia pia Ndugu?
Umeishiwa na arguments unakuja kwenye matusi? What a pity!!!!!
Mbona una panic kwa vitu vidogo mkuu!?Sema wewe unashobo kama mademu wq mbagala
Ametoa hotuba nzuri ya dakika nane alopokuwa Uganda.
Anaongea fluently and she is apparently mentally tranquil.
Even though she has a good pronunciation skill.Nadhani aliandikiwa akawa anasoma kitu ambacho hata Mtu wa kawaida anaweza ngoja waje wageni kutoka Magharibi tumuone
Yes sirNadhani aliandikiwa akawa anasoma kitu ambacho hata Mtu wa kawaida anaweza ngoja waje wageni kutoka Magharibi tumuone
Ndio maana wengi wanamashaka na Parmanent head damage aka PhD!Ametoa hotuba nzuri ya dakika nane alopokuwa Uganda.
Anaongea fluently and she is apparently mentally tranquil.
Ndio maana jamaa alikuwa anamsukumizia huko ziara za njeAmetoa hotuba nzuri ya dakika nane alopokuwa Uganda.
Anaongea fluently and she is apparently mentally tranquil.
Ulishawahi msikiliza mwendazake aka,shujaa wa mataga?Ametoa hotuba nzuri ya dakika nane alopokuwa Uganda.
Anaongea fluently and she is apparently mentally tranquil.
Binafsi nilipenda sana Kingereza cha JPM. Alikuwa vizuri mno kwenye grammar hakuna mfano wake. Nasema hakuna mfano wake..!! Watanzania tutamkumbuka kwa mazuri siyo kwa mabaya. Na hili nalisema kwa dhati kabisa.Ametoa hotuba nzuri ya dakika nane alopokuwa Uganda.
Anaongea fluently and she is apparently mentally tranquil.
Even though she has a good pronunciation skill.