Rais Samia Suluhu, Waganda wamekupigia 'Salute' kwa Kiingereza chako kizuri japo huna PhD yoyote

Rais Samia Suluhu, Waganda wamekupigia 'Salute' kwa Kiingereza chako kizuri japo huna PhD yoyote

Ushauri kwangu tena wa muda mrefu: don't argue with a fool. Ndio muda muafaka kuuchukua. Hakika sitakabiliana na kenge mpumbavu. Siko tayari. Umeshinda! Ndiyo maana munashindwa ......! Kweli?
Ha haa? don't argue with a fool..... and that is a reality!!!!
 
hapana, Samia anajua kiingereza, sio kama wengine wale. anakifahamu na alishafanya kazi katika organisation ya kimataifa. sawa tu na polepole, hajaishi ulaya ila ile kufanya kazi na wazungu kwenye maNGO anao uwezo mkubwa sana kujieleza kwa kiingereza. so is Samia.
 
Ametoa hotuba nzuri ya dakika nane alopokuwa Uganda.
Anaongea fluently and she is apparently mentally tranquil.
Binafsi nilipenda sana Kingereza cha JPM. Alikuwa vizuri mno kwenye grammar hakuna mfano wake. Nasema hakuna mfano wake..!! Watanzania tutamkumbuka kwa mazuri siyo kwa mabaya. Na hili nalisema kwa dhati kabisa.
 
Back
Top Bottom