Ila za Tanzania ni lazima ziwe katika KiingerezaTafadhali bwana siyo thesis zote duniani zinaandikwa kwa kiingereza, na wala siyo presentations zote kwenye mikutano ya kimataifa zinafanywa kwa kiingereza.
Tafadhali tafadhali tafadhali .......... Wacuba ni katika taifa ambalo lina madaktari wazuri sana na wa kuaminika duniani lakini asilimia kubwa hawajui kiingereza, wao ni kispanish kwa kwenda mbele.
Tulikuwa tukiaibika sana.Jana Usiku nilipokea Meseji moja kutoka kwa Rafiki mkubwa kutoka Uganda akielezea Kufurahishwa Kwake na 'Kiingereza ' kizuri alichonacho Rais wa Tanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan.
"Mr. Generalist are you sure that this President of yours Mama Samia she's not a Briton? She speaks fluent English, very articulate, attractive and comfortable with it unlike other so called intellectuals with their doctorates on hand "
Na Waganda hawakuishia hapa tu kwa huyu Rafiki yangu Kunitumia hiyo Meseji bali hata ukienda huko Ugandans On Twitter ( UOT ) Wachangiaji wengi wamevutiwa na Uwezo mkubwa wa Kuongea Kiingereza ' kilichonyooka ' cha Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan.
Wameenda mbali zaidi na Kuhoji inakuwa Marais wengine (hasa Barani Afrika) wana Elimu Kubwa lakini walipokuwa wakiwasikiliza (wanapowasikiliza) huwa wanaongea Viingereza 'vibovu vibovu' tu wakati Makabatini mwao wamehifadhi Vyeti vya ' PhD ' zao.
Kongole sana Kwako Rais Mama Samia.
hapana, Samia anajua kiingereza, sio kama wengine wale. anakifahamu na alishafanya kazi katika organisation ya kimataifa. sawa tu na polepole, hajaishi ulaya ila ile kufanya kazi na wazungu kwenye maNGO anao uwezo mkubwa sana kujieleza kwa kiingereza. so is Samia.
"Kiingereza ni Kiswahili cha dunia," aliwahi kusema Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.Tunaacha kutumia Kiswahili tunashangilia lugha ya wakoloni.
Even though she has a good pronunciation skill.
Ila kusema kweli,mheshimiwa rais wetu alizungunza kingereza kizuri.Hongera kwake
Na hiri narisema kwa zati kabisa
anajitahidi ukimlinganisha na Magufuli
Acha ujinga wa kijiwe, hao wafaransa wanasoma kwa lugha gani na sisi tunasoma kwa ligha gani?Siyo wote wanaoongea Kiingereza wana elimu mkuu,Kiingereza ni lugha na wala siyo elimu.
Ukisema English ni Elimu utaonekana huna elimu
Kuna Warusi, Wataliano, Wafaransa hawazungumzi Kiingereza sio kwamba hawana elimu...KIINGEREZA NI LUGHA
Kweli kila mtu anaweza kusoma akiandikiwa, hata wale wanaoandikiwa election wakasoma erectionNadhani aliandikiwa akawa anasoma kitu ambacho hata Mtu wa kawaida anaweza ngoja waje wageni kutoka Magharibi tumuone
Jana Usiku nilipokea Meseji moja kutoka kwa Rafiki mkubwa kutoka Uganda akielezea Kufurahishwa Kwake na 'Kiingereza ' kizuri alichonacho Rais wa Tanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan.
"Mr. Generalist are you sure that this President of yours Mama Samia she's not a Briton? She speaks fluent English, very articulate, attractive and comfortable with it unlike other so called intellectuals with their doctorates on hand "
Na Waganda hawakuishia hapa tu kwa huyu Rafiki yangu Kunitumia hiyo Meseji bali hata ukienda huko Ugandans On Twitter ( UOT ) Wachangiaji wengi wamevutiwa na Uwezo mkubwa wa Kuongea Kiingereza ' kilichonyooka ' cha Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan.
Wameenda mbali zaidi na Kuhoji inakuwa Marais wengine (hasa Barani Afrika) wana Elimu Kubwa lakini walipokuwa wakiwasikiliza (wanapowasikiliza) huwa wanaongea Viingereza 'vibovu vibovu' tu wakati Makabatini mwao wamehifadhi Vyeti vya ' PhD ' zao.
Kongole sana Kwako Rais Mama Samia.
Ni kweli kabisa, ila alikosea matamshi ya "invitation" na "demise"