Rais Samia Suluhu, Waganda wamekupigia 'Salute' kwa Kiingereza chako kizuri japo huna PhD yoyote

Wewe Generalist ni mshamba na muathirika wa neo colonialism, unaona kuongea kiingereza ni dili, kwani ngeli na kizaramu zina tofauti gani? Zote si lugha tu tunajifunza?

Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
 
Tunaacha kutumia Kiswahili tunashangilia lugha ya wakoloni.

Jana Usiku nilipokea Meseji moja kutoka kwa Rafiki mkubwa kutoka Uganda akielezea Kufurahishwa Kwake na ' Kiingereza ' kizuri alichonacho Rais wa Tanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan.

" Mr. Generalist are sure that this President of yours Mama Samia she's not a Briton? She speaks fluent English, very articulative, attractive and comfortable with it unlike other so called intellectuals with their doctorates on hand "

Na Waganda hawakuishia hapa tu kwa huyu Rafiki yangu Kunitumia hiyo Meseji bali hata ukienda huko Ugandans On Twitter ( UOT ) Wachangiaji wengi wamevutiwa na Uwezo mkubwa wa Kuongea Kiingereza ' kilichonyooka ' cha Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan.

Wameenda mbali zaidi na Kuhoji inakuwa Marais wengine ( hasa Barani Afrika ) wana Elimu Kubwa lakini walipokuwa wakiwasikiliza ( wanapowasikiliza ) huwa wanaongea Viingereza ' vibovu vibovu ' tu wakati Makabatini mwao wamehifadhi Vyeti vya ' PhD ' zao.

Kongole sana Kwako Rais Mama Samia.
Kwani hao waganda wenyewe wanakijua hicho kingereza vizur? Pia ni aibu na utumwa kwa bara la africa kushabia lugha za kigeni...waongee kiganda..buganda..sio kujinyafua nyafua na lugha za watu..
 
Siyo wote wanaoongea Kiingereza wana elimu mkuu,Kiingereza ni lugha na wala siyo elimu,

Ukisema English ni Elimu utaonekana huna elimu

Kuna Warusi, Wataliano, Wafaransa hawazungumzi Kiingereza sio kwamba hawana elimu...KIINGEREZA NI LUGHA

Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
 
Waafrica na Fikra zao za kitumwa...
Physically Free but mental enslaved by our colonizers...

Ukoloni wa.lugha ni mbaya kuliko ukoloni mavazi
 
Sina hakika kama kujua kingereza ndio kipimo cha kusoma; Magufuli na "mabaya" yake but kwenye issue ya Corona kawa outsmart hadi WHO na sasa hivi mataifa mengi makubwa (including UK ) wana copy from Magufuli, Magufuli kweli hakuakijua vizuri Kingereza but jamaa shule yake imeonekana kwenye mambo mengi ukiachilia mbali tabia za ubabe ambazo sidhani kama shule inaweza ku unlock.

Kingine, wazee wenzangu, tusijitoe ufahamu, wasomi wengi wa masomo ya sayansi wale wa zamani, na of course hata sasa hivi baadhi wapo, kingereza kwao kuongea ni shida sana, tena sana. Tafuta Engineer yeyote au msomi hata wa Hesabu kama mama Ndalichako, nuongee nae Kingereza kwa dakika 5 tu, atachemsha vibaya sana, why, Science ina deal zaidi na symbols, maneno kama therefore, etc, so nk yote yana alama, chemicals zote alama, sentensi inaweza kua ndefu, engineer atatumia alama tu na engineer mwenzie akaelewa jamaa anataka kusema nini; watu hao hao sasa, wapeni kazi ndio utajua kama alisoma au hakusoma.
 
Jana Usiku nilipokea Meseji moja kutoka kwa Rafiki mkubwa kutoka Uganda akielezea Kufurahishwa Kwake na ' Kiingereza ' kizuri alichonacho Rais wa Tanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan.

" Mr. Generalist are sure that this President of yours Mama Samia she's not a Briton? She speaks fluent English, very articulative, attractive and comfortable with it unlike other so called intellectuals with their doctorates on hand "

Na Waganda hawakuishia hapa tu kwa huyu Rafiki yangu Kunitumia hiyo Meseji bali hata ukienda huko Ugandans On Twitter ( UOT ) Wachangiaji wengi wamevutiwa na Uwezo mkubwa wa Kuongea Kiingereza ' kilichonyooka ' cha Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan.

Wameenda mbali zaidi na Kuhoji inakuwa Marais wengine ( hasa Barani Afrika ) wana Elimu Kubwa lakini walipokuwa wakiwasikiliza ( wanapowasikiliza ) huwa wanaongea Viingereza ' vibovu vibovu ' tu wakati Makabatini mwao wamehifadhi Vyeti vya ' PhD ' zao.

Kongole sana Kwako Rais Mama Samia.
Kama ukifanya uchunguzi mdogo tu kuhusu watu wa mwambao wenye kuzungumza kiswahili kwao wao ni rahisi kuwa na lafdhi nzuri kwa lugha yoyoyte wanaojifundisha.
 
Back
Top Bottom