Patrick Girigo
Member
- May 30, 2020
- 68
- 108
Madame President ameijengea heshima kubwa Nchi yetu ya Tanzania kwa jinsi alivyotumia jukwaa la Kimataifa vizuri hasa kwenye matumizi ya Lugha ya kimataifa -ENGLISH huko Uganda. Kiingerea cha Madam President ni kiwango cha juu, ukimsikiliza kwa umakini, ni English ya akina Obama, Nyerere au Ben Mkapa; Vijana wetu wamehamasika kusoma English kwa manufaa yao na kwa mataifa ya jirani. Itakuwa ni makosa kutaka kuwaaminisha watu kuwa kiingereza sio kizuri au uzalendo ni kukikujua kiswahili tu; Dira ya Taifa ya MAENDELEO ya 2025 inasema kuwa tunakwenda kujenga "middle class society which is very competitive"you can not compete by having a monolanguange instead of multilingua citizens.
Hongera sana Madame President kwa kutujajua juu ya mawingu in East Africa community.
Hongera sana Madame President kwa kutujajua juu ya mawingu in East Africa community.