Sina hakika kama kujua kingereza ndio kipimo cha kusoma; Magufuli na "mabaya" yake but kwenye issue ya Corona kawa outsmart hadi WHO na sasa hivi mataifa mengi makubwa (including UK ) wana copy from Magufuli, Magufuli kweli hakuakijua vizuri Kingereza but jamaa shule yake imeonekana kwenye mambo mengi ukiachilia mbali tabia za ubabe ambazo sidhani kama shule inaweza ku unlock.
Kingine, wazee wenzangu, tusijitoe ufahamu, wasomi wengi wa masomo ya sayansi wale wa zamani, na of course hata sasa hivi baadhi wapo, kingereza kwao kuongea ni shida sana, tena sana. Tafuta Engineer yeyote au msomi hata wa Hesabu kama mama Ndalichako, nuongee nae Kingereza kwa dakika 5 tu, atachemsha vibaya sana, why, Science ina deal zaidi na symbols, maneno kama therefore, etc, so nk yote yana alama, chemicals zote alama, sentensi inaweza kua ndefu, engineer atatumia alama tu na engineer mwenzie akaelewa jamaa anataka kusema nini; watu hao hao sasa, wapeni kazi ndio utajua kama alisoma au hakusoma.