Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi sawa
Communication Skills, Speech Delivering ni ngumu kwa watanzania wengi lazima tukubali Mama kajitahidi na katuondolea aibu iliyokua inatupata kwenye mikutano muhimu kama hiyo
GentamycineJana Usiku nilipokea Meseji moja kutoka kwa Rafiki mkubwa kutoka Uganda akielezea Kufurahishwa Kwake na 'Kiingereza ' kizuri alichonacho Rais wa Tanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan.
"Mr. Generalist are sure that this President of yours Mama Samia she's not a Briton? She speaks fluent English, very articulate, attractive and comfortable with it unlike other so called intellectuals with their doctorates on hand "
Na Waganda hawakuishia hapa tu kwa huyu Rafiki yangu Kunitumia hiyo Meseji bali hata ukienda huko Ugandans On Twitter ( UOT ) Wachangiaji wengi wamevutiwa na Uwezo mkubwa wa Kuongea Kiingereza ' kilichonyooka ' cha Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan.
Wameenda mbali zaidi na Kuhoji inakuwa Marais wengine (hasa Barani Afrika) wana Elimu Kubwa lakini walipokuwa wakiwasikiliza (wanapowasikiliza) huwa wanaongea Viingereza 'vibovu vibovu' tu wakati Makabatini mwao wamehifadhi Vyeti vya ' PhD ' zao.
Kongole sana Kwako Rais Mama Samia.
Ndiyo sababu wengi walifaulu masomo waliyosoma O level na A level hadi Vyuo Vikuu lakini hawawezi kuongea kiingereza kizuri kama Britons wenyeweHatusemi lazima uwe competent kwenye maeneo yote lakini atleast uweze kuongea ueleweke ukosee structure lakini meaning ibakie ile ile,
Waziri Kalemani jana kanifurahisha sana nilicheka hasa.Alibadili mwelekeo mzima wa shughuli.Ilikuwa hivi shughuli nzima ilikuwa ikiendeshwa kiingereza akaja waziri Wa uganda aliyezungumza kabla kumkaribisha Dr kalemani alikuwa ni alitoa hotuba nzima kwa lugha ya kiganda tena bila ku
omba wakalimani watafsiri Dr Kalemani alipokaribishwa aongee akaongea kiingereza dakika chache kisha akasema Waziri mwenzangu wa Uganda kwa kuwa katumia lugha ya uganda na mimi mniruhusu nitumie lugha yangu ya taifa akatandika kiswahili toka mwanzo hadi mwisho.Baada ya kwenda kukaa naona waganda walienda kupeana onyo kuwa ile ni hadhira ya kimataifa marufuku kutumia kiganda.Kingereza kuanzia hapo ikawa lugha ya shughuli
Safi sana Dr.Kalemani
Usibishane naye huyo kwanza hajui hata kujenga hoja. Huja notice kwamba anafanya copy and paste kujibu kwenye kila comment inayosema tofauti na yeye?
Huyu rafiki yako ana PhD kabatini? Mbona hajui kingereza au hiki ni sawa:Jana Usiku nilipokea Meseji moja kutoka kwa Rafiki mkubwa kutoka Uganda akielezea Kufurahishwa Kwake na 'Kiingereza ' kizuri alichonacho Rais wa Tanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan.
"Mr. Generalist are sure that this President of yours Mama Samia she's not a Briton? She speaks fluent English, very articulate, attractive and comfortable with it unlike other so called intellectuals with their doctorates on hand "
Na Waganda hawakuishia hapa tu kwa huyu Rafiki yangu Kunitumia hiyo Meseji bali hata ukienda huko Ugandans On Twitter ( UOT ) Wachangiaji wengi wamevutiwa na Uwezo mkubwa wa Kuongea Kiingereza ' kilichonyooka ' cha Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan.
Wameenda mbali zaidi na Kuhoji inakuwa Marais wengine (hasa Barani Afrika) wana Elimu Kubwa lakini walipokuwa wakiwasikiliza (wanapowasikiliza) huwa wanaongea Viingereza 'vibovu vibovu' tu wakati Makabatini mwao wamehifadhi Vyeti vya ' PhD ' zao.
Kongole sana Kwako Rais Mama Samia.
Tunaacha kutumia Kiswahili tunashangilia lugha ya wakoloni.
Magufuli aliwa outsmart vipi WHO kwenye corona? UK wamecopy nini? Hebu acheni ujinga huu.
Jana Usiku nilipokea Meseji moja kutoka kwa Rafiki mkubwa kutoka Uganda akielezea Kufurahishwa Kwake na 'Kiingereza ' kizuri alichonacho Rais wa Tanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan.
"Mr. Generalist are sure that this President of yours Mama Samia she's not a Briton? She speaks fluent English, very articulate, attractive and comfortable with it unlike other so called intellectuals with their doctorates on hand "
Kwa hiyo mtu kujua idadi ya samaki baharini ndio wa kusifiwaBado tunasafari ndefu kama nchi.
Yaani mtu kuzungumza Kingereza kizuri nalo ni swala la kujisifia?
Jana Usiku nilipokea Meseji moja kutoka kwa Rafiki mkubwa kutoka Uganda akielezea Kufurahishwa Kwake na 'Kiingereza ' kizuri alichonacho Rais wa Tanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan.
"Mr. Generalist are sure that this President of yours Mama Samia she's not a Briton? She speaks fluent English, very articulate, attractive and comfortable with it unlike other so called intellectuals with their doctorates on hand "
Na Waganda hawakuishia hapa tu kwa huyu Rafiki yangu Kunitumia hiyo Meseji bali hata ukienda huko Ugandans On Twitter ( UOT ) Wachangiaji wengi wamevutiwa na Uwezo mkubwa wa Kuongea Kiingereza ' kilichonyooka ' cha Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan.
Wameenda mbali zaidi na Kuhoji inakuwa Marais wengine (hasa Barani Afrika) wana Elimu Kubwa lakini walipokuwa wakiwasikiliza (wanapowasikiliza) huwa wanaongea Viingereza 'vibovu vibovu' tu wakati Makabatini mwao wamehifadhi Vyeti vya ' PhD ' zao.
Kongole sana Kwako Rais Mama Samia.
Next Prezidaaa kama sifa ndiyo Hiyo .. !Wapi Prof. Joyce Ndalichako
Huyu rafiki yako ana PhD kabatini? Mbona hajui kingereza au hiki ni sawa:
"Mr Generalist are sure that this President of yours Mama Samia she's not a Briton?
Hiyo sentence imejaa makosa mengi.
Kumbuka PhD nyingi siyo za lugha ya kingereza na unapo maliza PhD yako kuna watu wanaitwa English language editors ambao wanapitia Thesis yako na kurekebisha kingereza na kukipa certificate kuwa kingereza kimesahihishwa na hii siyo kazi ya mwandishi wa PhD hiyo. Wewe kwa sababu huna PhD huyajui hayo! Pole, tutakuelimisha.