Rais Samia Suluhu, Waganda wamekupigia 'Salute' kwa Kiingereza chako kizuri japo huna PhD yoyote

Lugha na kiwango cha elimu ni vitu viwili tofauti, sisi tunataka maendeleo na siyo lugha
 
Chato national paka, Mzungu alituharibu akili mpaka tukaona hata lugha yetu nayo si lugha ..
 
Bado tunasafari ndefu kama nchi.

Yaani mtu kuzungumza Kingereza kizuri nalo ni swala la kujisifia?

Hizo tabia alikua nazo mzaliwa mmoja wa mkoa wa Mara hasa akiwa anawaponda marehemu alikua anazungukazunguka kumbe lengo atukane watu waliokufa
 
Binafsi navutiwa sana na lafudhi ya mama ,matamshi na sauti Mungu alimbarikia katika hilo hachoshi kusikiliza kwakweli Mungu amtangulie.
 
Tunataka Rais wa hivyo sasa sio Rais anakimbia majukwaa ya kimataifa Kisa shida ya mawasiliano na maboko kibao akijifanya mzalendo

Mbona watoto wenu na wao hamuwapeleki kwenye mashule ya viswahili
 
Siyo wote wanaoongea Kiingereza wana elimu mkuu,Kiingereza ni lugha na wala siyo elimu.

Ukisema English ni Elimu utaonekana huna elimu

Kuna Warusi, Wataliano, Wafaransa hawazungumzi Kiingereza sio kwamba hawana elimu...KIINGEREZA NI LUGHA
Yah right. Kingereza ni lugha ya Taifa Tanzania.... Lakini siyo lugha ya Taifa Russia, France a Italy.
 
Acha utoto kiingereza ni lugha tu, Acha kupoteza muda kwa mambo ya kitoto, nafikir sasa umeishiwa vya kuandika! !
 
Kiswahili kinakupeleka wapi wewe,ni ushamba kuzungumzia ukoloni miaka hii.

Mtoto wako anafanya nini huko english medium si umpeleke TUKI department

Kitamfundisha Jando na Unyago. Siyo Physics, Biology, Chemistry na Mathematics na Nuclear physics.
 

Ukoloni wa lugha ndio
Unakusumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…