Rais Samia Suluhu, Waganda wamekupigia 'Salute' kwa Kiingereza chako kizuri japo huna PhD yoyote

Hata Kamati Kuu Ya TANU waliandika article yao nzuri tu wakiuomba uhuru wa Tanganyika leo wewe nani upinge Lugha hii ya kidunia?
 
Communication Skills, Speech Delivering ni ngumu kwa watanzania wengi lazima tukubali Mama kajitahidi na katuondolea aibu iliyokua inatupata kwenye mikutano muhimu kama hiyo

Umesema ukweli mtupu Ndugu. Heko!!!
 
Gentamycine
 
Hatusemi lazima uwe competent kwenye maeneo yote lakini atleast uweze kuongea ueleweke ukosee structure lakini meaning ibakie ile ile,
Ndiyo sababu wengi walifaulu masomo waliyosoma O level na A level hadi Vyuo Vikuu lakini hawawezi kuongea kiingereza kizuri kama Britons wenyewe
 
Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
 
Usibishane naye huyo kwanza hajui hata kujenga hoja. Huja notice kwamba anafanya copy and paste kujibu kwenye kila comment inayosema tofauti na yeye?

Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
 
Huyu rafiki yako ana PhD kabatini? Mbona hajui kingereza au hiki ni sawa:
"Mr Generalist are sure that this President of yours Mama Samia she's not a Briton?
Hiyo sentence imejaa makosa mengi.
Kumbuka PhD nyingi siyo za lugha ya kingereza na unapo maliza PhD yako kuna watu wanaitwa English language editors ambao wanapitia Thesis yako na kurekebisha kingereza na kukipa certificate kuwa kingereza kimesahihishwa na hii siyo kazi ya mwandishi wa PhD hiyo. Wewe kwa sababu huna PhD huyajui hayo! Pole, tutakuelimisha.
 
Life Long Learning “ ni falsafa inayokataza denial ya mambo muhimu kwenye maisha yaani hauna option zaidi lazima ujifunze tu kuliko kukataa kwa mfano unaleta hoja ya kubadili sheria ziwe za kiswahili je utaweza kuubadili mfumo wa sheria za kimataifa nazo ziwe kwa kiswahili? Jibu ni hapana kumbe tuwe na lugha zote kwenye sheria zetu yaani kiswahili na kiingereza kuliko kugeuka mbumbumbu mzungu wa reli.
 
Wewe na rafikiyo wote mabwege! Mulichanguana kwa ubwege. English gani hii sasa!

Btw., Afrika hii ni nchi ngapi wanatumia kiingereza? Kwa hiyo wengine wote hawafai kwa kutojua kiingereza. Foooool!
 
Ushamba nao mzigo, tangu lini lugha ikanasibishwa na elimu? Kuna watanzania tele humu ukiwemo wewe mtoa mada hujui kiswahili na bado mtaani kwako unawapandishia mabega watu kua ulienda shule,

Kumbe shule ulienda kusomea ujinga.
 
Hakuna uhusiano wowote narudia tena hakuna uhusiano wowote kuwa na PhD na kuwa muongeaji mzuri wa lugha ya kiingereza,
Kule kwa jamaa zetu pale Zanzibar forodhani emu nendeni mkaone watoto wadogo ata darasa la 10 wengine hawakumaliza minimum mtu anaongea lugha 3 za kigeni fluently.,

Kijana mdogo yaani mdogo ana kundi la wazungu ata 60 wa kitaliana, wengine kichina, wengine kutoka Spain na sasaivi kuna makundi ya Warusi wanakuja kwa mzo nk anawapokea wageni na kuwa nao trip zote mpaka anawapandisha ndege kurudi kwao., hawa ni vijana wapo tu mtaani wamejifunza lugha tu kwa ajili ya maisha yao.

Sasa kijana huyu haelewi habari ya PhD na ukija ukimlinganisha na mtu aliyemaliza PhD pale Mlimani au Openi University kwenye lugha yenu kiingereza cha kisukuli mtu wako wa PhD ataachwa mbali sana, sana kusiko julikana.

Shuleni ama vyuoni hasa Tanzania kiingereza hufundishwa kwaajili ya kujibia mitihani tu nothing else, kwa mfano mwanafunzi wa Advance Level Tanzania hawezi kuandika ata barua ya maombi ya kazi kwa kiingereza aibu huwa inaanzia hapo na kuendelea.

Sasa kama mama Samia apart from school amefanya juhudi binafsi It is well done.
 
Ni upumbavu kumsifia mtu kuongea kiingereza na kumfananisha na mzungu. Huu ni ukoloni wa kipumbavu.

I can speak english fluently but I can't be proud of it. English It's just a language like any other language. So if somebody can't speak English It's not a thing to be judged negatively.

I can judge Tanzanians who have been born in Tanzania and live their whole lives here and still can't speak Swahili. But not a Tanzanian who has been living here throughout their life and can't speak English

Emancipate yourself from mental slavery. And there is nobody but ourselves who can free our minds.

Kuna mazuri ya kusifia kwa mama samia suluhu but si kuzungumza kiingereza.huu ni upuuzi.
 
An authentic Moron like you can't correct me on my English. I'm competent and a wordsmith on this ( that ) language.

Stop wasting your time arguing with me Generalist ( alias ) ' Gifted Intellectually, Knowledgeable and Well Informed ' Man okay?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…