Rais Samia Suluhu, Waganda wamekupigia 'Salute' kwa Kiingereza chako kizuri japo huna PhD yoyote

Wewe na rafikiyo wote mabwege! Mulichanguana kwa ubwege. English gani hii sasa!

Btw., Afrika hii ni nchi ngapi wanatumia kiingereza? Kwa hiyo wengine wote hawafai kwa kutojua kiingereza. Foooool!

Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
 
Ushamba nao mzigo, tangu lini lugha ikanasibishwa na elimu? Kuna watanzania tele humu ukiwemo wewe mtoa mada hujui kiswahili na bado mtaani kwako unawapandishia mabega watu kua ulienda shule,

Kumbe shule ulienda kusomea ujinga.

Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
 
Bado tunasafari ndefu kama nchi.

Yaani mtu kuzungumza Kingereza kizuri nalo ni swala la kujisifia?
Wallah, nashindwa hata kushangaa.
najiuliza, hawa wanaojisifia ndio wa kushangaliwa au mimi ndio watu wanishangae?
 
Kuna watu wnajificha kwenye kichaka cha Neo- colonialism or New Colonialism naomba ieleweke kwamba kamwe hii hua sio hoja maana ukoloni mamboleo una aspects nyingi sana na kuhukumu wazungumzaji kua watumwa ni kukosa uelewa wa dunia ikoje, wewe unayesema ukoloni mpya mfumo wako wote wa maisha umeiga kwa wakoloni au watu tofautitofauti kwa mfano wewe mwafrika hata choo ulikua haukijui ulikua unakunya vichakani na kusababisha magonjwa ya milipuko hata kutumia maji chooni ulikua haujui hii inaitwa ( Cultural and Civilization) Ancient early civilization hadi kwenye new civilization iliyokuja kutokea egypt ikashuka na kusambaa mashariki hadi kusini kote hivo tukubali tu katika kukubaliana kua kiingereza ni lugha muhimu sana na ndio maana tulianza na kilatini, kiebrania lakini bado tafsiri ya mwisho hutolewa kwa kiingereza kwa mfano tuseme turudi kuishi kiafrika sasa itakuaje? Maana hata kiswahili sio lugha yetu Mama tuliirithi kutokana na misafara mbalimbali ya pwani ya afrika mashariki pale pidgn na creole zilipokizaa kiswahili tukapata ahueni lakini haimaanishi kua tuko vizuri maana hata misamiati ya kiswahili haiko kamili .
 
Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
Umezungumza vitu vingi lakini aviendani, suala la kujifunza kiingereza ata nchi yetu inasisitiza ndio maana kuna michepuo kama HKL na HGL kule advance level, lengo ni kumuandaa aje azungumze na kujua lugha, hapa nazungumzia Rais hakuna ajabu wala aibu asipozungumza kiingereza maana sio lazima ndio maana ata waziri mkuu wa India alikataa kuzungumza kiingereza akiwa na viongozi wa dunia, anapenda kuzungumza Kihindu, japo kuwa Kiingereza anakijua vizuri tu
 
Slave mentality

Hii Lugha uliyotumia hapa ni Kiswahili au Kiingereza? Sasa kama unakipenda Kiswahili chetu na unakichukia Kiingereza na kusema ni Lugha ya Utumwa ( Ukoloni ) mbona hapa umeitumia tena?

Nikisema huna Akili ( Pumbavu ) nitakuwa ninakuonea? Kumbe ninapokuwa nawadharau wengi wenu huwa nakuwa sahihi mno. Na nitawanyoosha hadi mjue Kufikiri na Kujenga Hoja zenye Mantiki
 
@Patriot hivi umeelewa mnakasha/ mjadala unamaanisha nini?
 
Achana nae hawa ndio wale wanaenda dukani anasema naomba juice/ na haelewi kama juice alitakiwa atumie neno Sharubati ambalo ndio neno rasmi la kiswahili.
 
Hakuna uhusiano wowote narudia tena hakuna uhusiano wowote kuwa na PhD na kuwa muongeaji mzuri wa lugha ya kiingereza,
Kule kwa jamaa zetu pale Zanzibar forodhani emu nendeni mkaone watoto wadogo ata darasa la 10 wengine hawakumaliza minimum mtu anaongea lugha 3 za kigeni fluently.,

Kijana mdogo yaani mdogo ana kundi la wazungu ata 60 wa kitaliana, wengine kichina, wengine kutoka Spain na sasaivi kuna makundi ya Warusi wanakuja kwa mzo nk anawapokea wageni na kuwa nao trip zote mpaka anawapandisha ndege kurudi kwao., hawa ni vijana wapo tu mtaani wamejifunza lugha tu kwa ajili ya maisha yao.

Sasa kijana huyu haelewi habari ya PhD na ukija ukimlinganisha na mtu aliyemaliza PhD pale Mlimani au Openi University kwenye lugha yenu kiingereza cha kisukuli mtu wako wa PhD ataachwa mbali sana, sana kusiko julikana.

Shuleni ama vyuoni hasa Tanzania kiingereza hufundishwa kwaajili ya kujibia mitihani tu nothing else, kwa mfano mwanafunzi wa Advance Level Tanzania hawezi kuandika ata barua ya maombi ya kazi kwa kiingereza aibu huwa inaanzia hapo na kuendelea.

Sasa kama mama Samia apart from school amefanya juhudi binafsi It is well done.

Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
 
Hii Lugha uliyotumia hapa ni Kiswahili au Kiingereza? Sasa kama unakipenda Kiswahili chetu na unakichukia Kiingereza na kusema ni Lugha ya Utumwa ( Ukoloni ) mbona hapa umeitumia tena?

Nikisema huna Akili ( Pumbavu ) nitakuwa ninakuonea? Kumbe ninapokuwa nawadharau wengi wenu huwa nakuwa sahihi mno. Na nitawanyoosha hadi mjue Kufikiri na Kujenga Hoja zenye Mantiki
Omba radhi la sivyo nikurukie huko ulipo nicheze na hayo makalio hadi uombe poo...

'NAKUTANIA SIWEZI KUFANYA HIVYO'

Ila kusema ukweli sidhani kama lugha inatakiwa kuyatangulia mantiki.
 
Wewe Generalist ni mshamba na muathirika wa neo colonialism, unaona kuongea kiingereza ni dili, kwani ngeli na kizaramu zina tofauti gani? Zote si lugha tu tunajifunza?
Mbona kuna wanao ongea kiswahili vizuri wanasifiwa pia kama Mh. Raisi mstaafu Ally Hassan Mwinyi

Lakini pia mpaka leo tuna kumbukumbu ya vitu mbalimbali hapa Tanzania kwa sifa ya ubingwa wa kiswahili kwa Shaaban Robert

... au !!!???
 
Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.
Kwa hiyonunataka kusemaje yule waziri wa Uganda na Dk Kalemani wotenhawajui kiingengereza au? Sababu wa Uganda aliongea kiganda na wa Tanzania akaongea kiswahili
 
Omba radhi la sivyo nikurukie huko ulipo nicheze na hayo makalio hadi uombe poo...

'NAKUTANIA SIWEZI KUFANYA HIVYO'

Ila kusema ukweli sidhani kama lugha inatakiwa kuyatangulia mantiki.

IQ yako haba inanipotezea muda sawa?
 
Hii Lugha uliyotumia hapa ni Kiswahili au Kiingereza? Sasa kama unakipenda Kiswahili chetu na unakichukia Kiingereza na kusema ni Lugha ya Utumwa ( Ukoloni ) mbona hapa umeitumia tena?

Nikisema huna Akili ( Pumbavu ) nitakuwa ninakuonea? Kumbe ninapokuwa nawadharau wengi wenu huwa nakuwa sahihi mno. Na nitawanyoosha hadi mjue Kufikiri na Kujenga Hoja zenye Mantiki
Kutokuongea kiingereza ni suala la maamuzi sio suala la chuki, hivi haya mambo mnayatafasiri vip! ! kiswahiliii kama lugha ya Taifa hili ndio jambo la kwanza mengine badae, hakuna Rais yeyote aliamua kuongea lugha yake ata kwenye ukumbi wa umoja wa mataifa, kwamba eti viongozi wenzake watamshangaa, ni jambo la kawaida sanaaaaaaa iloo
 
Kwa hiyonunataka kusemaje yule waziri wa Uganda na Dk Kalemani wotenhawajui kiingengereza au? Sababu wa Uganda aliongea kiganda na wa Tanzania akaongea kiswahili

Wala hujawahi kuwa na IQ hapa Jamvini.
 
Back
Top Bottom