Rais Samia Suluhu, Waganda wamekupigia 'Salute' kwa Kiingereza chako kizuri japo huna PhD yoyote

Kutokuongea kiingereza ni suala la maamuzi sio suala la chuki, hivi haya mambo mnayatafasiri vip! ! kiswahiliii kama lugha ya Taifa hili ndio jambo la kwanza mengine badae, hakuna Rais yeyote aliamua kuongea lugha yake ata kwenye ukumbi wa umoja wa mataifa, kwamba eti viongozi wenzake watamshangaa, ni jambo la kawaida sanaaaaaaa iloo

Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
 
Mkapa, JK pia walikua vema sana ....
Ila kinjekitile alikua balaa "intapretenyuaa"
 
Bado tupo nyuma sana, safari ni ndefu.

Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
 
Leo hii kiingereza ni kigezo cha uweledi wa uongozi.
 
"Mr. Generalist are sure that this President of yours Mama Samia she's not a Briton? She speaks fluent English, very articulate, attractive and comfortable with it unlike other so called intellectuals with their doctorates on hand "
What a broken English! Improper interrogative form, inappropriate use of both noun and pronoun consecutively and poor writing skills especially on the use of punctuation marks. In short wewe mwenyewe haujui Kingereza.
 
Baadhi ya Raia wenzangu ni wa ajabu sana...., hizi nguvu tunazowekeza kwenye vitu minor robo tatu tu zingetumika ipasavyo tusingeitwa wanyonge...
 
Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
Nimeandika sentensi moja fupi sana lakini mkuu umeijibu kwa insha ya mistari zaidi ya kumi!.

Kujua kingereza halafu ukakosa busara ya kawaida tu ya kukupatia maendeleo hicho kingereza chako kinakuwa ni mapambo tu.

Mama Samia hatapimwa kwa utamu wa lafudhi yake akiwa anasoma hotuba iliyoandikwa kwa kingereza, atapimwa kwa namna anavyotatua kero za wananchi, atapimwa kwa namna anavyokuwa na msimamo anapohitajika kuitetea Tanzania.

Atapimwa kwa kurudisha mzunguko mzuri wa pesa, atapimwa kwa kufanikisha miradi mingi iliyotekelezwa kwa nusu ya kiwango mpaka sasa ikisubiri kumaliziwa mpaka ifikapo 2025.

Hatapimwa kwa uwezo wake wa kutamka maneno matamu ya lugha ya kingereza mbele ya watu.
 
Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
Fikra za kitumwa
 
its goods to knw all the international languages,so that you interract your fellow leaders easily for the benefits of your country ,Ms hassan has spoken abetter english than m7 in my opinion, i believe in the near future kiswahili will be also an international language,bt lets try to learn all the international languages including kiswahili bt let us not limit ourselves to kiswahili only .
 
Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
Kwahiyo mkuu leo tunahitimisha kwa kusema CCM hawaishiwi viongozi wazuri na wenye sifa nzuri ndani na kamataifa[emoji120]
 
Jana Usiku nilipokea Meseji moja kutoka kwa Rafiki mkubwa kutoka Uganda akielezea Kufurahishwa Kwake na 'Kiingereza ' kizuri alichonacho Rais wa Tanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan.

"Mr. Generalist are sure that this President of yours Mama Samia she's not a Briton? She speaks fluent English, very articulate, attractive and comfortable with it unlike other so called intellectuals with their doctorates on hand "

Na Waganda hawakuishia hapa tu kwa huyu Rafiki yangu Kunitumia hiyo Meseji bali hata ukienda huko Ugandans On Twitter ( UOT ) Wachangiaji wengi wamevutiwa na Uwezo mkubwa wa Kuongea Kiingereza ' kilichonyooka ' cha Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan.

Wameenda mbali zaidi na Kuhoji inakuwa Marais wengine (hasa Barani Afrika) wana Elimu Kubwa lakini walipokuwa wakiwasikiliza (wanapowasikiliza) huwa wanaongea Viingereza 'vibovu vibovu' tu wakati Makabatini mwao wamehifadhi Vyeti vya ' PhD ' zao.

Kongole sana Kwako Rais Mama Samia.

warusi, wachina, waarabu wenye PhD hawajui kabisa kiingereza

hao wanaojua viingereza vya kubabia babia ni wataalamu...wa fani zao

au unachotaka kusema ni kuwa ukienda england leo ambao ni lugha yao.....kila mtu ana PhD?
 
Wewe Generalist ni mshamba na muathirika wa neo colonialism, unaona kuongea kiingereza ni dili, kwani ngeli na kizaramu zina tofauti gani? Zote si lugha tu tunajifunza?
Yule waziri wa Nishati Uganda alitandika kiganda hotuba yake yote namsifu kuipenda lugha yake
 
Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
Sasa ni nani anayetakiwa kujivunia io lugha. kutokujua lugha haina mana hauewezi kujikwamua.Ni Aibu.
hatukatai ni lugha ya kimataifa lakini pia haina maana kutokujua ni ujinga.
 
Siyo wote wanaoongea Kiingereza wana elimu mkuu,Kiingereza ni lugha na wala siyo elimu.

Ukisema English ni Elimu utaonekana huna elimu

Kuna Warusi, Wataliano, Wafaransa hawazungumzi Kiingereza sio kwamba hawana elimu...KIINGEREZA NI LUGHA
Asisahau malawi wanyasa ma houseboy Tanzania wanaongea kiingereza kizuri lakini hawajui kusoma wala kuandika

Aende Malawi aone mtu hajakanyaga hata darasa moja anaongea kiingereza kizuri .Kiingereza lugha tu si kuwa muongeaji lazima awe msomi
 
Back
Top Bottom