6WaS9
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 2,562
- 3,028
Mkuu ni wapi au sheria ipi, inasema kiingereza ni lugha ya dunia? Huo ni mtazamo wako tu!Ndiyo lugha ya dunia, kiswahili utaishia kuongea ukiwa magereza kwa Madiba!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ni wapi au sheria ipi, inasema kiingereza ni lugha ya dunia? Huo ni mtazamo wako tu!Ndiyo lugha ya dunia, kiswahili utaishia kuongea ukiwa magereza kwa Madiba!
Andika maelezo yako haya kwa kiingereza , ili tuone wewe "umekimasta" kwa kiwango gani alafu tuku jaji una akili kiasi gani kwa sababu ya lugha.Kiingereza kwa Tanzania ni Lugha ya kujifunzia lakini pia ni lugha rasmi, ( official Language) hasa wewe O’ level na A’level umejifunzia kiingereza halafu haujakimaster vyema inaonekana hata uliyosoma haukuyaelewa ndio sababu akiongea kiingereza Mchina kwake anaweza kuungaunga maana kwao lugha rasmi ya kujifunzia ni kichina, tusiwatetee watu wasioweza kuongea lugha waliyojifunzia
Hongera mkuu kwa kuelimika, humu kuna watoto wengi wanahitaji kuelimishwa.Ni upumbavu kumsifia mtu kuongea kiingereza na kumfananisha na mzungu. Huu ni ukoloni wa kipumbavu.
I can speak english fluently but I can't be proud of it. English It's just a language like any other language. So if somebody can't speak English It's not a thing to be judged negatively.
I can judge Tanzanians who have been born in Tanzania and live their whole lives here and still can't speak Swahili. But not a Tanzanian who has been living here throughout their life and can't speak English
Emancipate yourself from mental slavery. And there is nobody but ourselves who can free our minds.
Kuna mazuri ya kusifia kwa mama samia suluhu but si kuzungumza kiingereza.huu ni upuuzi.
Hatukatai juu ya hilo, kinachopingwa zaidi ni kupima uelewa wa mtu au elimu yake au akili yake kwa kuangalia anajua kiingereza kwa kiasi ganiKiingereza ni lugha muhimu sana, hata ukienda china au nchi yoyote, ukijua kiingereza utapata huduma, lakini kama unajua kiswahili pekee itakuwa tabu sana
Fuata nyau mwenzako futi sita chini ya ardhi! kama hutaki achaCatalyst mbwa wewe
Wanasema mwacha mila ni mtumwa lakini kuna utumwa mwingine una manufaa kuliko mila ....ni bora kingereza mara mia kuliko kiswahili hata kama tuna kienzi namna ganiHapo tunakosea sana!
Mimi ni mkenya na kwa kusema kweli napenda sana kiswahili chako.. hii ni A class, umeyatumia maneno noma zaidi babaa maneno kama haya mimi huyasikia tu kwa watangazaji wa citizen tv etc.....eti itifaki, pembezoni dah wacha tuJana wakati Rais Samia akishuka kwenye ndege nafikiri mambo hayakuwa sawa au watu wa itifaki hawakuwa wamejipanga... Inakuwaje Rais anashuka kwenye ngazi za ndege akiwa ameongozana na Walinzi pamoja na Maofisa wengine kibao? Rais alikuwa amezongwa sana bila sababu za msingi. Nafikiri maafisa wa Itifaki ya Rais inabidi kuliangalia upya.
Usahihi ilikuwa wakati anashuka alitakiwa atangulie peke yake huku nyuma kwa karibu akifuatia ADC na Walinzi pembezoni basi..
Maafisa wengine wa litakiwa wawe wameshuka tayari(Wale wa Ulinzi na Itifaki) na wengine baada ya Rais kukanyaga ardhi..
Hii ingetoa fursa kwa Rais kupata 'Photo opp' stahili..
Ni muhimu kumpa Rais heshima na upekee unaostahili..
Nashukuru. Tutawaelimisha hawa watoto wa dot com. Ambao hawajielewi kabisa. Wanarudi kwenye ukoloni ambako tulitoka.kibaya wanakosa hoja za maana.Hongera mkuu kwa kuelimika, humu kuna watoto wengi wanahitaji kuelimishwa.
Sasa unahisi sijui kiingereza.. Ulishamuona rais wa China, Russia Japan Korea, ufaransa au ujerumani wanaongea publicly kingereza kipindi wanatangazia uma wao. Kujua kiingereza ni njia ya mawasiliano ila kama raia wao wanajua kiswahili sio jukumu la rais kuongea kingereza ili wazungu 50 wamuelewe wakati kuna raia 60mil wa kitanzania hawatomuelewa.Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.
Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.
Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?
Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.
Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
Tena sio kuzungumza ni kusoma mkuu.Kwenye kusoma wabongo hatujawahi shindwa ngoma kuongea direct weeeee! Aibuuuu[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Bado tunasafari ndefu kama nchi.
Yaani mtu kuzungumza Kingereza kizuri nalo ni swala la kujisifia?
Wanasema sijui kiingereza, sasa wanafunzi wangu wa kemia pale sengerema niliwafundisha nini kama nisingeweza kutamkaLazima asifiwe maana Magufuli alipoenda Uganda alituaibisha.
Hongera mkuu kwa kuelimika, humu kuna watoto wengi wanahitaji kuelimishwa.
Tena sio kuzungumza ni kusoma mkuu.Kwenye kusoma wabongo hatujawahi shindwa ngoma kuongea direct weeeee! Aibuuuu[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Nenda po pote duniani - Amerika kaskazini na Kusini, Ulaya, Asia, Australia na hapa Afrika ongea kimalkia utasikilizwa!Mkuu ni wapi au sheria ipi, inasema kiingereza ni lugha ya dunia? Huo ni mtazamo wako tu!
Lugha ya kihisabati.Hiyo hisabati anatumia lugha gani kufundishia?
Wewe fala nakumaindi sana, siku nikikutia mkononi nitatawanya mapaja yako..Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.
Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.
Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?
Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.
Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
Kwahiyo Kiingereza ni Elimu sio???...Lugha huwezi kuijua kama hujaisoma,labda kama umezaliwa ughaibuni.
Ndo maana inaitwa elimu.
Sababu unaweza kuandika thread kwa mbwembwe kibao mtandaoni, sio dalili wala lazima kwamba una akili timamu au kustaarabika.Kimesaidia kujua sana Upumbavu wako.
Wafaransa wanasoma kwa lugha yao(Kifaransa)...na sisi kwa elimu ya msingi tunasoma kwa lugha (yetu) ya Taifa (Kiswahili) isipokuwa kwa elimu ya secondary na elimu ya juu tunasoma kwa lugha ya kigeni (Kingereza)Acha ujinga wa kijiwe, hao wafaransa wanasoma kwa lugha gani na sisi tunasoma kwa ligha gani?
Ulitaka azungumze kiingereza chenye accent ya bara?Wewe umesikia hayo maneno mawili tu??--- basi na wewe una masikio mabovu au matamshi yako ni mabovu katika baadhi ya maneno ya kiingereza.
Mfano neno World alitamka "wold" na neno Worth alitamka "woth", hukusikia??.