Rais Samia Suluhu, Waganda wamekupigia 'Salute' kwa Kiingereza chako kizuri japo huna PhD yoyote

Ndiyo lugha ya dunia, kiswahili utaishia kuongea ukiwa magereza kwa Madiba!
Mkuu ni wapi au sheria ipi, inasema kiingereza ni lugha ya dunia? Huo ni mtazamo wako tu!
 
Kiingereza kwa Tanzania ni Lugha ya kujifunzia lakini pia ni lugha rasmi, ( official Language) hasa wewe O’ level na A’level umejifunzia kiingereza halafu haujakimaster vyema inaonekana hata uliyosoma haukuyaelewa ndio sababu akiongea kiingereza Mchina kwake anaweza kuungaunga maana kwao lugha rasmi ya kujifunzia ni kichina, tusiwatetee watu wasioweza kuongea lugha waliyojifunzia
Andika maelezo yako haya kwa kiingereza , ili tuone wewe "umekimasta" kwa kiwango gani alafu tuku jaji una akili kiasi gani kwa sababu ya lugha.
 
Ni upumbavu kumsifia mtu kuongea kiingereza na kumfananisha na mzungu. Huu ni ukoloni wa kipumbavu.

I can speak english fluently but I can't be proud of it. English It's just a language like any other language. So if somebody can't speak English It's not a thing to be judged negatively.

I can judge Tanzanians who have been born in Tanzania and live their whole lives here and still can't speak Swahili. But not a Tanzanian who has been living here throughout their life and can't speak English

Emancipate yourself from mental slavery. And there is nobody but ourselves who can free our minds.

Kuna mazuri ya kusifia kwa mama samia suluhu but si kuzungumza kiingereza.huu ni upuuzi.
Hongera mkuu kwa kuelimika, humu kuna watoto wengi wanahitaji kuelimishwa.
 
Kiingereza ni lugha muhimu sana, hata ukienda china au nchi yoyote, ukijua kiingereza utapata huduma, lakini kama unajua kiswahili pekee itakuwa tabu sana
Hatukatai juu ya hilo, kinachopingwa zaidi ni kupima uelewa wa mtu au elimu yake au akili yake kwa kuangalia anajua kiingereza kwa kiasi gani
 
Jana wakati Rais Samia akishuka kwenye ndege nafikiri mambo hayakuwa sawa au watu wa itifaki hawakuwa wamejipanga... Inakuwaje Rais anashuka kwenye ngazi za ndege akiwa ameongozana na Walinzi pamoja na Maofisa wengine kibao? Rais alikuwa amezongwa sana bila sababu za msingi. Nafikiri maafisa wa Itifaki ya Rais inabidi kuliangalia upya.
Usahihi ilikuwa wakati anashuka alitakiwa atangulie peke yake huku nyuma kwa karibu akifuatia ADC na Walinzi pembezoni basi..
Maafisa wengine wa litakiwa wawe wameshuka tayari(Wale wa Ulinzi na Itifaki) na wengine baada ya Rais kukanyaga ardhi..
Hii ingetoa fursa kwa Rais kupata 'Photo opp' stahili..
Ni muhimu kumpa Rais heshima na upekee unaostahili..
Mimi ni mkenya na kwa kusema kweli napenda sana kiswahili chako.. hii ni A class, umeyatumia maneno noma zaidi babaa maneno kama haya mimi huyasikia tu kwa watangazaji wa citizen tv etc.....eti itifaki, pembezoni dah wacha tu
 
Hongera mkuu kwa kuelimika, humu kuna watoto wengi wanahitaji kuelimishwa.
Nashukuru. Tutawaelimisha hawa watoto wa dot com. Ambao hawajielewi kabisa. Wanarudi kwenye ukoloni ambako tulitoka.kibaya wanakosa hoja za maana.

Mimi siwezi mshambulia mtu eti hawezi zungumza kiingereza. Ntamshangaa mtanzania ambaye amekaa mazingira wanayozungumza kiswahili halafu hawezi kiswahili.
 
Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
Sasa unahisi sijui kiingereza.. Ulishamuona rais wa China, Russia Japan Korea, ufaransa au ujerumani wanaongea publicly kingereza kipindi wanatangazia uma wao. Kujua kiingereza ni njia ya mawasiliano ila kama raia wao wanajua kiswahili sio jukumu la rais kuongea kingereza ili wazungu 50 wamuelewe wakati kuna raia 60mil wa kitanzania hawatomuelewa.
Narudia tena ushamba wa mzungu utakuua

Unahisi maendeleo ni kuongea kizungu au kuwa mzungu.
Ikumbukwe hamna Lugha inayozidi mwengine lugha ni njia ya mawasiliano
 
Bado tunasafari ndefu kama nchi.

Yaani mtu kuzungumza Kingereza kizuri nalo ni swala la kujisifia?
Tena sio kuzungumza ni kusoma mkuu.Kwenye kusoma wabongo hatujawahi shindwa ngoma kuongea direct weeeee! Aibuuuu[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
 
Lazima asifiwe maana Magufuli alipoenda Uganda alituaibisha.
Wanasema sijui kiingereza, sasa wanafunzi wangu wa kemia pale sengerema niliwafundisha nini kama nisingeweza kutamka

In order to geini moa information oni the formation andi decomposition behavior of various aron nitrides from different starting materio in neutron diffraction and thermal analysis anda application of different gesi atmospheres and heating rates weya carried out
 
Hongera mkuu kwa kuelimika, humu kuna watoto wengi wanahitaji kuelimishwa.

Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
 
Tena sio kuzungumza ni kusoma mkuu.Kwenye kusoma wabongo hatujawahi shindwa ngoma kuongea direct weeeee! Aibuuuu[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]

Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
 
Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
Wewe fala nakumaindi sana, siku nikikutia mkononi nitatawanya mapaja yako..
 
Acha ujinga wa kijiwe, hao wafaransa wanasoma kwa lugha gani na sisi tunasoma kwa ligha gani?
Wafaransa wanasoma kwa lugha yao(Kifaransa)...na sisi kwa elimu ya msingi tunasoma kwa lugha (yetu) ya Taifa (Kiswahili) isipokuwa kwa elimu ya secondary na elimu ya juu tunasoma kwa lugha ya kigeni (Kingereza)

Usijibu hoja bila kuielewa utakuwa mpumbavu...
 
Wewe umesikia hayo maneno mawili tu??--- basi na wewe una masikio mabovu au matamshi yako ni mabovu katika baadhi ya maneno ya kiingereza.

Mfano neno World alitamka "wold" na neno Worth alitamka "woth", hukusikia??.
Ulitaka azungumze kiingereza chenye accent ya bara?
 
Back
Top Bottom