DOKEZO Rais Samia tafadhali chunguza BRELA kwani ni kikwazo kwa wafanyabiashara, bila hongo hufungui kampuni

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Unamkamatisha mmoja mmoja tu vitendea kazi tunavyo simu ni ushahidi tosha ni kuwarekodi na kuwaanika mtandaoni wakuu wao wa kazi waone upuuzi wao
 
Wewe unafanyaje online na kukamilisha mkuu??
Mimi naona nakatiza mwezi wa tatu huu bila mafanikio
Inaandika make final decision sasa sielewi itabaki hivyo hadi lini
Huyo atakuwa mfanyakazi wa Brela huyo!
 
Habari, usajili unaotolewa na BRELA hufanyika moja kwa moja kupitia mtandao kwa wakati baada ya kukamilisha taarifa zote sahihi kwa majibu wa sheria, unaweza kutuma namba ya ombi lako kwa ufafanuzi zaidi.
 
Habari, tunaomba namba ya ombi lako kwaajili ya ufafanuzi zaidi.
 
Wewe unafanyaje online na kukamilisha mkuu??
Mimi naona nakatiza mwezi wa tatu huu bila mafanikio
Inaandika make final decision sasa sielewi itabaki hivyo hadi lini
Habari, tunaomba namba ya ombi husika (tracking number) kwaajili ya msaada zaidi.
 
Kwani Shida ya Brela huwa ni kitu gani yaani????

Status "Make final decision" mwezi mzima imeng'ang'ania hapo kila kitu kina simama kwa ajili ya hawa wapumbavu.

Simu hawapokei email hazijibiwa sasa hawa wanalipwa mshahara kwa kazi gani?
Habari, tunaomba namba ya ombi husika (tracking number) ambalo bado hujapokea majibu yako pamoja na namba ya BRELA ambayo umetumia kupiga kwaajili ya msaada zaidi.
 
Habari, tunaomba namba ya ombi lako (tracking number) ambalo bado hujapokea majibu yako pamoja na namba ya BRELA uliyotumia kuwasiliana nasi kwaajili ya msaada zaidi.
Wewe unafanyaje online na kukamilisha mkuu??
Mimi naona nakatiza mwezi wa tatu huu bila mafanikio
Inaandika make final decision sasa sielewi itabaki hivyo hadi lini
Habari, tunaomba namba ya ombi husika ambalo bado hujapokea majibu yako kwaajili ya msaada zaidi.
 
Nilihangaika kusajili business name kwa ile takataka yao ya online mpaka nikachemsha na hela yangu walishakula...nimeamua kupuyanga kienyeji years later ntatafuta kishoka nimpe hela akafanye manually!
Habari, tunaomba kufahamu hatua ambayo umekwama katika kukamilisha maombi yako ya usajili wa jina la biashara kwa njia ya mtandao kwaajili ya kukupatia ufafanuzi.
 
Brela shida Sana yangu mwaka 2015 sijafanikiwa kuregister online ORS too much bureaucracy
Habari, tunaomba kufahamu hatua ambayo umefikia na kukutana na changamoto kwaajili ya ufafanuzi na msaada zaidi.
 
Habari, tunaomba namba ya ombi lako (tracking number) kwaajili ya ufafanuzi na msaada zaidi.
 
Habari, usajili unaotolewa na BRELA hufanyika moja kwa moja kupitia mtandao kwa wakati baada ya kukamilisha taarifa zote sahihi kwa majibu wa sheria, unaweza kutuma namba ya ombi lako kwa ufafanuzi zaidi.
Kinachoudhi na kuchelewesha usajili:

Kwanza ukiwa na tatizo na unataka moja kwa moja kuwasiliana na officer wa BRELA utahangaika sana kwani number za mawaaliano namhusika hazipo wazi kwenye page yao.

Pili hata ukiwapata wanakupa majibu yasiyo na maelekezo mazuri. Wale akina dada pale customer care ni very ignorant na hawana usaidizi wowote nafikiri ni wale waliopewa tu nafasi kimasihara hawana moyo wala weledi wa kusaidia mtu. Mtu anakwambia mwandikie CEO barua na wala hakupi adress yake wala ufafanuzi zaidi. Ukiwapigia wanaona kama unawasumbua na wana lugha isiyo na staha!

Tatu ni jinsi mnacyofanya masahihisho. Mnasahihisha mstari mmoja mmoja na kufanya kurespondenses ziwe nyingi mno. Mtu unarudishiwa submission yake hata mara kumi?! Kwanini msifanye masahihisho yote kwa pamoja?

Tafandhali ondoeni contacts za zamani katika page yenu! Kuweni specific zaidi kwa kuweka wazi contact za wasaidizi kwa kila ulizo; IT, maulizo, etc

BRELA mpo very poor kujibu e-mail za watu! Utaandika hata email 7 bila kujibiwa. Na hata ukijibiwa ni hovyo hovyo tu. Tena kama umeandika kiingereza ndio hutajibiwa kabisa. Nahisi kuwa watu wengi incompetent wameajiriwa BRELA na hawa ni kero kweli kweli.

Nimeshasajili kampuni yangu lakini cha moto nilikiona.

Tafadhali maoni haya yafike kwenye uongozi wa juu la sivyo BRELA mtaendelea na mapungufu haya siku zote.
 
Kwanza huwa hawataji majina.
Hii ni principle ya customer care ndiyo maana hata majeshi ya ulinzi na usalama wameandikwa majina vifuani, ama Bank, nk...
Mimi nimewapigia simu ile namba yao, alipokea sauti ya kiume nikaulizwa tracking namba mtoa huduma akanisubirisha baadae akakata simu bila kusema kitu, siku ikaisha.

Nikapiga tena akapokea sauti ya kike anatafuna jojo akasema "ombi lako lipo kwa msajili", nikauliza "inaweza chukua muda gani ombi langu kukamilika", akajibu kifedhuri "Kaka nimekwambia ombi lako lipo kwa msajili, haujaelewa au"

Daaah, this is TANZANIA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari, namba rasmi ya BRELA kuwasiliana na wateja wake kupitia kituo cha miito ni 0222 212 800, tunaomba tuandikie barua pepe yako pamoja na barua pepe yetu uliyotumia kuwasiliana nasi ambayo bado hujapokea majibu yako kwa msaada zaidi.
 
Pole kwa changamoto uliyokutana nayo, tunaomba namba ya ombi lako kwaajili ya msaada zaidi.
 
True Mimi nilianua kususa nikaona sio mpango...
 
Habari, namba rasmi ya BRELA kuwasiliana na wateja wake kupitia kituo cha miito ni 0222 212 800, tunaomba tuandikie barua pepe yako pamoja na barua pepe yetu uliyotumia kuwasiliana nasi ambayo bado hujapokea majibu yako kwa msaada zaidi.
Asante, rekebisheni namna mnavyofanya marekebisho ya submissions zetu. Badala ya kusahihisha mstari mmoja mmoja tafadhali sahihisheni document yote. Hii itapunguza marudio na muda wa kupata registration utakuwa mfupi zaidi.

Pale customer desk tafadhali wekeni watu ambao ni competent zaidi. Wale akina dada nani hawafai!

Jibuni barua pepe mapema na kwa weledi (professionalism).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…