BRELA
Member
- Dec 14, 2023
- 72
- 52
Habari, tumepokea maoni yako kwaajili ya kuboresha huduma zetu.Asante, rekebisheni namna mnavyofanya marekebisho ya submissions zetu. Badala ya kusahihisha mstari mmoja mmoja tafadhali sahihisheni document yote. Hii itapunguza marudio na muda wa kupata registration utakuwa mfupi zaidi.
Pale customer desk tafadhali wekeni watu ambao ni competent zaidi. Wale akina dada nani hawafai!
Jibuni barua pepe mapema na kwa weledi (professionalism).