GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Huenda nae labda alikuwa Mhalifu aliyejificha ila sasa kaamu Kujipambanua.Nchi itafikiri inaongozwa na wahalifu
Ova
Poti hii issue zimenikera sanaHakika.
Haya mambo yameleta chuki kubwa na mgawanyikoHuenda nae labda alikuwa Mhalifu aliyejificha ila sasa kaamu Kujipambanua.
Alafu yule kule mjengoni dodoma mambo haya anaongelea kama hajali vileZiara kibao mara wampeleke huku mara kule
Kuna vitu vinakera sana , halafu wao wenyewe marehemu watarajiwa ni kupishana miaka tu, kosa watende japo haki kidogoAlafu yule kule mjengoni dodoma mambo haya anaongelea kama hajali vile
Ova
Mzee wa kujipakulia minyama mingiAnayo na najua huwa ananisoma sana tu GENTAMYCINE kwani ukiwa na Akili timamu huwezi acha Kunisoma hapa JF.
Nakubaliana nawe 100% Poti.Poti hii issue zimenikera sana
Mtu kuchoma picha,kukupinga unamteka na kuuaaa
Hiyo nguvu badala wa tumiee kulinda uchumi wa nchi wa deal na mambo madoogo
Ova
Kama kawaida yangu.Mzee wa kujipakulia minyama mingi
Tena wanaiba mara tano ya iliyopita.Halafu hii awamu ni kama watu wanajipigia pesa tu
Huwezi kuwa na Kichwa kama alichonacho huyo Waziri halafu ukawa na Akili sawa sawa. Kichwa kinasadifu mengi tu.Alafu yule kule mjengoni dodoma mambo haya anaongelea kama hajali vile
Ova
Sawa sawa Mkuu.Haya mambo yameleta chuki kubwa na mgawanyiko
Sahv hakuna tena mambo ya sisi kitu kimoja
Ova
Pole na Majukumu yako ya Kiutendaji na hongera kwa yale mazuri unayofanya kwa Tanzania japo kwa kawaida changamoto za Kiutawala / Kiuongozi kwa Rais yoyote hazikosekani na kama hutozimaliza Wewe basi atakuja Kuzimaliza ajaye.
Tafadhali Rais Samia nakuomba fanya yafuatayo ikikupendeza.......
1. Mbadili upesi sana Rais wako wa Mambo ya Ndani Masauni kwani hana anachofanya japo Unampenda
2. Mfute Kazi upesi Ndugu yangu kabisa Mzanaki IGP Wambura kwani Polisi imemshinda teua Mtu sahihi
3. Unda Kikosi Kazi chako cha Uchunguzi waichunguze TISS kwani kunaonekana kwa sasa huko kuna tatizo
4. Acha kupokea Ushauri wowote juu ya Watesi wa Utawala wako kuwa wanyamazinywe kwa kulala mazima
5. Kuwa makini sana na Kitengo cha Operation ndani ya TISS kwani huenda kikawa na Njama ya Kukuchafua
6. Pokea sana Ushauri wa CDF Gen Mkunda na siyo wa DGIS au wa Poti wangu wa Kizanaki IGP Wambura
7. Nchi haiko salama vile kama ambavyo unadanganywa hivyo simama sasa kama Amiri Jeshi Mkuu
Nikutakie tu Majukumu yako mema, ila ninakuomba yazingatie Kiumakini haya mambo Saba (7)niliyokuandikia hapa.
Ungekuwa unajibu Mtihani kwa hiki ulichokiandika hapa nadhani nisingekupa tu 100% bali ningekupa kabisa 101% zote...hili kundi la Watekaji na Wauwaji Samia alilikuta.
..kama Samia alikuwa hataki kushirikiana nao, au wamfanyie kazi, angelifuta mara alipoingia madarakani.
..Watekaji na wauwaji ktk vyombo vya dola hawawezi kuondoshwa na Rais anayetokana na Ccm.
..kundi hilo limejifungamanisha na Ccm na kila awamu ya uongozi hapa nchini. Kila Raisi anayetokana na Ccm analihifadhi kundi hilo. Na malipo ni kusaidia Ccm kubaki madarakani.
Nakubaliana nawe 100% Mkuu.Tatizo liko Usalama wa taifa na Polisi kuwaogopa maana wana ripoti moja kwa moja kwa Raisi. Sasa tatizo ni mfumo hapo sio watu. Sirisiri za usalama ndiyo tatizo na kwanini Usalama wanajihusisha na mambo ambayo haya wahusu
Wenye akili timamu huwa hawajisifii namna hiiAnayo na najua huwa ananisoma sana tu GENTAMYCINE kwani ukiwa na Akili timamu huwezi acha Kunisoma hapa JF.