Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
sawaMwambie awaondoe machawa wake wote walio mzunguka (ukiwemo wewe mwenyewe), ili nchi isonge mbele.
Merging ,EWURA ,TPDC ,PBPA na PURA iwe Taasisi moja.Vipi kuhusu EWURA 😂😂😂😂😂
1. Wakala wa vipimo (WMA).
Wakala wa vipimo ulianzishwa ili kuleta usawa kwa mlaji na mtoa huduma lakini vituo vya mafuta vinadhulumu walaji.
Sasa hivi bei ya mafuta iko juu na vituo vya mafuta bila aibu wanatuibia huku wakala wa vipimo upo tu . Wakala hii ifutwe haraka na watumishi wake wote wasihamishiwe taasisi nyingine ili kuwepo na funzo kwa watumishi wa taasisi zingine za umma .
Nilifanya utafiti kwenye mabucha, kati ya mizani 6 ni moja tu kidogo ilitia moyo, hii maana yake ni kwamba zaidi ya 80% ya mizani za buchani wananchi tunalaliwa.
2.SIDO
Tangu nazaliwa naikuta SIDO na kila kwenye maonyesho SIDO lazima uikute ila ukifika sokoni bidhaa za SIDO sizioni.
Futa kabisa
3.TARURA
Hawa TARURA wamegeuka jeshi usu, wako busy kufukuzana na bodaboda na vigari . Barabara za mitaani zina hali ngumu .
Futa kabisa
4. Mamlaka za maji hasa DAWASA
Hii ifutwe na jukumu lake ipewe taasisi nyingine au iundwe mamlaka nyingine lakini watumishi wa DAWASA wote tupia nje iwe fundisho kwa watumishi wengine.
5. Bodi ya nyama
Ifutwe kabisa haina tija kwa wananchi.
6. Shirika la nyumba.
Mtumishi wa umma hana cha kujivunia kutoka NHC , mwananchi wa kawaida pia hana cha kujivunia kutoka NHC.
Sasa hili shirika lina umuhimu gani kama limeshindwa kukopesha nyumba angalau 50% ya watumishi?
Kweli mtumishi wa Tanzania wa kujenga kwa kuungaunga kama digidigi huku shirika la nyumba la serikali lipo!!!
Lifutwe haraka.
DuuMerging ,EWURA ,TPDC ,PBPA na PURA iwe Taasisi moja.
Hili nakubali1. Wakala wa vipimo (WMA).
Wakala wa vipimo ulianzishwa ili kuleta usawa kwa mlaji na mtoa huduma lakini vituo vya mafuta vinadhulumu walaji.
SIDO inafanya kazi kulingana na budget na uwezo wake.2.SIDO
Tangu nazaliwa naikuta SIDO na kila kwenye maonyesho SIDO lazima uikute ila ukifika sokoni bidhaa za SIDO sizioni.
Futa kabisa
TARURA wanapambana kujenga barabara za mitaa, ila bado kasi yao ni ndogo kwasababu ya budget.3.TARURA
Hawa TARURA wamegeuka jeshi usu, wako busy kufukuzana na bodaboda na vigari . Barabara za mitaani zina hali ngumu .
Taasisi kuwa dhaifu haina maana haina umuhimu.4. Mamlaka za maji hasa DAWASA
Hii ifutwe na jukumu lake ipewe taasisi nyingine au iundwe mamlaka nyingine lakini watumishi wa DAWASA wote tupia nje iwe fundisho kwa watumishi wengine.
Bodi nyingi hasa za mazao ni usenge ikiwemo hii ya nyama.5. Bodi ya nyama
Ifutwe kabisa haina tija kwa wananchi.
NHC ni shirika muhimu kwasababu linatusaidia kujenga miji yetu.6. Shirika la nyumba.
Mtumishi wa umma hana cha kujivunia kutoka NHC , mwananchi wa kawaida pia hana cha kujivunia kutoka NHC.
NHC wanakopesha nyumba, sema labda budget yako ni ndogo ukilinganisha na bei ya nyumba zao.Sasa hili shirika lina umuhimu gani kama limeshindwa kukopesha nyumba angalau 50% ya watumishi?
Kweli mtumishi wa Tanzania wa kujenga kwa kuungaunga kama digidigi huku shirika la nyumba la serikali lipo!!!
Lifutwe haraka.
Taratibu zao zikoje mkuu?Hili nakubali
SIDO inafanya kazi kulingana na budget na uwezo wake.
Mashine za kusaga, kupukuchua mahindi, mshine za miwa, na zaidi kukamua alizeti zinatoka SIDO
TARURA wanapambana kujenga barabara za mitaa, ila bado kasi yao ni ndogo kwasababu ya budget.
Wanatakiwa kuongezewa ujuzi, ubunifu na budget.
Tunahitaji barabara za mitaa vibaya sana kwa sasa kujiko kawaida na hiyo mdio kazi ya TARURA.
REA wamefanikiwa kuwasha umeme vijiji vyote.
Tunataka TARURA ijenge rami kote, na RUWASA ipeleke maji kote.
Taasisi kuwa dhaifu haina maana haina umuhimu.
Mamlaka za maji zina jukumu la kutafuta vyanzo vya maji, kusambaza na kudhibiti maji taka. Ni muhimu.
Bodi nyingi hasa za mazao ni usenge ikiwemo hii ya nyama.
NHC ni shirika muhimu kwasababu linatusaidia kujenga miji yetu.
Hatuhitaji MAJIJI makubwa kama Dar, Arusha, Mwanza kuwa na majengo makubwa mengi ambao ni mali ya WAHINDI, wasomali, WACHINA na WAARABU.
Huo ni UZUZU.
NHC wanakopesha nyumba, sema labda budget yako ni ndogo ukilinganisha na bei ya nyumba zao.
Wana program tatu.Taratibu zao zikoje mkuu?
Nakumbuka 2023 , Waziri prof kitila mkumbo aliainisha baadhi ya Taasisi na Mashirika kufutwa na mengine kuunganishwa. Moja wapo ni sido. Waziri alipendekeza Taasisi zinazofanya kazi Moja kama sido, camartec na Temdo ziunganishwe ili kupunguza fedha za bajeti na matumizi yasio na lazima , ila Cha ajabu mpaka Leo miaka 3 imepita maagizo hayo hayakutekelezwa. Waziri prof mkumbo alizungumzia tena mwaka huu na akataja Tanzania ndio nchi yenye Taasisi nyingi zinazofanya kazi zinazofanana bila ya tija. Ni aibu kwa Taifa kuona Bado mzigo huu upon na anasubiriwa mlipa Kodi alipe pesa zikatumiwe na vitaasisi visivyo na maana. Hata gawio hawatoi Kwa serikali, hatuoni wanachokizalisha . Je faida ya kuwepo hizo Taasisi kwa Taifa ni Nini?1. Wakala wa vipimo (WMA).
Wakala wa vipimo ulianzishwa ili kuleta usawa kwa mlaji na mtoa huduma lakini vituo vya mafuta vinadhulumu walaji.
Sasa hivi bei ya mafuta iko juu na vituo vya mafuta bila aibu wanatuibia huku wakala wa vipimo upo tu . Wakala hii ifutwe haraka na watumishi wake wote wasihamishiwe taasisi nyingine ili kuwepo na funzo kwa watumishi wa taasisi zingine za umma .
Nilifanya utafiti kwenye mabucha, kati ya mizani 6 ni moja tu kidogo ilitia moyo, hii maana yake ni kwamba zaidi ya 80% ya mizani za buchani wananchi tunalaliwa.
2.SIDO
Tangu nazaliwa naikuta SIDO na kila kwenye maonyesho SIDO lazima uikute ila ukifika sokoni bidhaa za SIDO sizioni.
Futa kabisa
3.TARURA
Hawa TARURA wamegeuka jeshi usu, wako busy kufukuzana na bodaboda na vigari . Barabara za mitaani zina hali ngumu .
Futa kabisa
4. Mamlaka za maji hasa DAWASA
Hii ifutwe na jukumu lake ipewe taasisi nyingine au iundwe mamlaka nyingine lakini watumishi wa DAWASA wote tupia nje iwe fundisho kwa watumishi wengine.
5. Bodi ya nyama
Ifutwe kabisa haina tija kwa wananchi.
6. Shirika la nyumba.
Mtumishi wa umma hana cha kujivunia kutoka NHC , mwananchi wa kawaida pia hana cha kujivunia kutoka NHC.
Sasa hili shirika lina umuhimu gani kama limeshindwa kukopesha nyumba angalau 50% ya watumishi?
Kweli mtumishi wa Tanzania wa kujenga kwa kuungaunga kama digidigi huku shirika la nyumba la serikali lipo!!!
Lifutwe haraka.
ni hasara tupuNakumbuka 2023 , Waziri prof kitila mkumbo aliainisha baadhi ya Taasisi na Mashirika kufutwa na mengine kuunganishwa. Moja wapo ni sido. Waziri alipendekeza Taasisi zinazofanya kazi Moja kama sido, camartec na Temdo ziunganishwe ili kupunguza fedha za bajeti na matumizi yasio na lazima , ila Cha ajabu mpaka Leo miaka 3 imepita maagizo hayo hayakutekelezwa. Waziri prof mkumbo alizungumzia tena mwaka huu na akataja Tanzania ndio nchi yenye Taasisi nyingi zinazofanya kazi zinazofanana bila ya tija. Ni aibu kwa Taifa kuona Bado mzigo huu upon na anasubiriwa mlipa Kodi alipe pesa zikatumiwe na vitaasisi visivyo na maana. Hata gawio hawatoi Kwa serikali, hatuoni wanachokizalisha . Je faida ya kuwepo hizo Taasisi kwa Taifa ni Nini?
sidhani kama unaelewa kazi ya SIDO. Nenda pale kajifunze kozi fupi fupi za ujasiriamali ndio u-display matokeo yako, maana hizo product zimetengenezwa na wajasiriamali waliofundishwa SIDO. Hizo product sio bidhaa za SIDO, same na mashine.1. Wakala wa vipimo (WMA).