Ukiwasikiliza vijana wa CHADEMA, unajua wazi kwanini Div 0 ya Form 6 ya Mbowe ndio inawaongoza, low thinkers sana, it can't be,
kuna mambo ya aibu huko CDM badala ya kuhoji wao wanalala usiku kulalamikia Mh. Rais, hata ofisi tu hawana. Aibu tupu. CHADEMA ni Saccos ya Mbowe, ila misukule hawaelewi tu.
Imagine mtu anashauri uwanja wa mpira mkubwa wakati huu, wakati sio priority kabisa hata kidogo, watu wanataka maendeleo plz plz, maji, huduma za afya bora, elimu bora, barabara, umeme wa uhakika, kilimo cha kisasa, masoko ya mazao yao, kuwezeshwa kiuchumi kwa kupata mikopo ya riba nafuu hasa single digit 9%, 8%, 7%, ajira mpya, usalama wa raia na mali zao, wastaafu kupata haki zao mapema, kudhibiti rushwa, kudhibiti matumizi ya serikali, etc etc
Sasa ww unashauri uwanja mkubwa wa mpira wakati huu?